A Anonymous Guest Mar 26, 2026 #1 Kuna watu walifanya interview za LGA & MDA kupitia Sekretarieti ya ajira Serikalini 17/12/2025 oral ila hadi leo majibu hayajatoka hata kwa mtu mmoja. Tunachowaza ni kwamba walifeli wote au nini kinaendelea? Pia soma ~ Sekretarieti ya Ajira: Tumeboresha Mfumo wa Ajira Portal, ambao hawakufaulu usaili wanapewa ujumbe
Kuna watu walifanya interview za LGA & MDA kupitia Sekretarieti ya ajira Serikalini 17/12/2025 oral ila hadi leo majibu hayajatoka hata kwa mtu mmoja. Tunachowaza ni kwamba walifeli wote au nini kinaendelea? Pia soma ~ Sekretarieti ya Ajira: Tumeboresha Mfumo wa Ajira Portal, ambao hawakufaulu usaili wanapewa ujumbe
Ibilisi Mjalaana JF-Expert Member Joined Aug 13, 2019 Posts 8,297 Reaction score 16,529 Mar 27, 2026 #2 Acha kupangia watu, ushafanya part yako tuliza ball