Waliofanya usaili wa nafasi ya Data Officer MDH

Waliofanya usaili wa nafasi ya Data Officer MDH

Zero Competition

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2018
Posts
347
Reaction score
553
Heshima kwenu wakuu,

Kwa tuliofanya interview ya Practical nafasi ya Data Officer MDH pale Kijitonyama kuna yeyote ambae kashapigiwa simu kwenda kwenye Oral Interview?
 
Boss mbona una haraka Kazi unataka utaratibu ya nini kujisumbua kutaka Kujua ya wengine
 
Data officer siku hizi nae anafanyiwa practical!!!?
 
Back
Top Bottom