Waliofeli kidato ch pili

Waliofeli kidato ch pili

mfaumeham

New Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
3
Reaction score
0
Serikali imeruhusu wanafunzi waliofeli mtihani wa kidato cha pili kuendelea na kidato cha tatu. Hii mnaionaje wadau?hivi elimu yetu inaelekea wapi? serikari inataka kumfurahisha nani? au ndio muendelezo wa ule usemi wa mwanafalsafa mmoja aliyesema ukitaka kumtawala mtu basi mnyime elimu? Kwenye hili nini kifanyike ili kuinusulu elimu na taifa letu?
 
Back
Top Bottom