Waliofeli kidato cha nne 2012 kujiunga kidato cha tano 2013

Waliofeli kidato cha nne 2012 kujiunga kidato cha tano 2013

Halafu waliopata zero wakasomee Ualimu, Ufundi, Kilimo na Nursing.

watachakachua kwote bt wizara ya afya bwana hakuingiliki kirahisi..ata wakienda na zero bt anatomy and physiology lazima iwarudishe home asee!afu si washasema wanataka d flat za pcb....
 
watachakachua kwote bt wizara ya afya bwana hakuingiliki kirahisi..ata wakienda na zero bt anatomy and physiology lazima iwarudishe home asee!afu si washasema wanataka d flat za pcb....

Mkuu wanataka D flat za PCB kusoma Alvel au chuo cha afya?
 
Hivi dira yetu kwenye elimu ni nini? haya yanayoandikwa nashindwa kuelewa kabisa. Mbona elimu yetu imekuwa kama gari bovu linaloenda bila dereva??? Hivi lengo la kuchakachua sifa ni nini wajameni???
 
Mimi naona tatizo ni kwamba bado hatujajitambua kabisa katika elimu yetu, tulipiga kelele walipofuta mitihani ya kidato cha pili; lakini hawakujali, muda wa mavuno ulipofika ndio wanashangaa kuona hizo sifuri. Japo ni kweli kufeli hatua moja sio kushindwa kwa hatua nyingine lakini sio busara kuwapeleka ktk hatua nyingine pasipo kutatua tatizo kwanza, vinginevyo wanatengeza mazingira ya sifuri zingine tusubili. Tafakali
 
Back
Top Bottom