- Thread starter
- #41
ni kweli kuwa sio wagonjwa wote wanahitaji ct scan isipokuwa wale walioko kwenye hatari ya kufa tu.huu ndio ukweli unaoumiza!
Uimboka alitetea huduma bora za afya kwa wananchi,serikali ilimpinga kwa kumteka na kumtesa.
Toa hapa roho yako yenye pepo, utamteteaje Mtu analazmisha watu wasitibiwe? Eti anamshukuru Mungu kwa kumponya, Mungu kafanya hivyo makusudi ili apate kujutia na kutubu dhambi zake za kusababisha viumbe wa mungu kama yeye kupoteza maisha kwa sababu yake. Badala ya kutubu na kuwaomba radhi watanzania anaendeleza umafia wake. Asubiri sasa mara pili kama atapona.