Waliofungwa uzazi dawa sasa imepatikana

Waliofungwa uzazi dawa sasa imepatikana

Joined
Feb 5, 2018
Posts
91
Reaction score
51
Njia hii ya kwanza hutumika hata kwa aliye fungwa kizazi, nguvu za kiume , ama kuna mtu au kitu unataka kusahau kabisaa hapo ni wewe na nia yako Allah ndiye mjuzi zaidi.

NJIA YA KWANZA

Chukua majani sabaa ya mkunazi yawe mabichi
Somea Surat falaq mara 99 kisha baada ya kumaliza kuyasomea hapo hapo omba dua ya haja yako Allah akufungue kizazi na kiwe chema in shaa Allah.
Kisha yaponde ponde hayo majani yawe laini kabisa au yasage
Ukishayasaga tia kwenye maji safi lita moja , weka na maji rose / rose water kifuniko kimoja na zafarani nyekundu

Tikisa maji hayo vizuri
Unapotaka kunywa muombe Allah akufungue mara sabaaa kisha kunywa maji hayo vifuniko sabaa.

Utafanya hivyo kutwa mara tatu mpaka maji yaishe.

BAADA YA KUMALIZA FANYA NJIA HII YA PILI[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

[emoji298]KWA WENYE MATATIZO YA KUTOKUSHIKA UJAUZITO[emoji298]
[emoji117]Dawa hii ni nzuri sana kwa wasioshika ujauzito kwa sababu mbalimbali kama kutokubalance kwa hormone na matatizo mengine....
[emoji117]Pia dawa hii hii watumie watu ambao akishika ujauzito unatoka.
[emoji117]Dawa hii usiitumie kwanza kama una UVIMBE TUMBONI AMA MIRIJA YAKO YA UZAZI IMEFUNGA(IMEZIBA)
[emoji117]Nina maana ikiwa una uvimbe ama mirija imefunga TUMIA KWANZA DAWA ZA KUTOA UVIMBE NA KUZIBUA MIRIJA ndipo utumie dawa hii
[emoji117]Dawa hii si nyingine bali ni MIZIZI YA MKWAMBE

[emoji298]Tafuta mizizi ya mkwambe ...mizizi nane igawanye fungu mbili upate minne minne

[emoji298]Chukua fungu la kwanza chemsha kwa maji vikombe vitano vya 250ml. ...... yaani sawa sawa na lita moja na robo. .
Chemsha ichemke vizuri kabisa
[emoji298]Kunywa kikombe kimoja kutwa mara moja
Hiyo dawa ulochemsha utakua unaipasha siku zinazofuata mpaka zitimie siku nne , hapo utachukua kifungu cha pili na utafanya kama cha kwanza
Utakuwa umetumia dawa hiyo kwa siku nane tuu.

Kwa ushauri na tiba wasiliana nasi
Wenu Sulayman
+255 655 821 550
 
Back
Top Bottom