Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kaeleweka. wewe hujaelewa nini?Dah,mtoa mada nasikitika kukuambia kuwa andiko lako halieleweki,nimejaribu kusoma zaidi ya mara tatu narudia rudio lakini sioni urari na vina katika andiko lako,yani ni kama umeshtuliwa kutoka usingizini au unamhemko kiasi kwamba unaandika kisichoeleweka,point yako inaweza kuwa ni nzuri lakini uwasilishaji wako hapa jukwaani unamang'amung'amu .
Kama hutojali rudia tena kuandika hili bandiko lako ili lieleweke vema .