Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kaeleweka. wewe hujaelewa nini?Dah,mtoa mada nasikitika kukuambia kuwa andiko lako halieleweki,nimejaribu kusoma zaidi ya mara tatu narudia rudio lakini sioni urari na vina katika andiko lako,yani ni kama umeshtuliwa kutoka usingizini au unamhemko kiasi kwamba unaandika kisichoeleweka,point yako inaweza kuwa ni nzuri lakini uwasilishaji wako hapa jukwaani unamang'amung'amu .
Kama hutojali rudia tena kuandika hili bandiko lako ili lieleweke vema .
hata mie cjakuelewa wapi hujaelewa, Halaf binaadam tuna level tofauti za ufahamDah,mtoa mada nasikitika kukuambia kuwa andiko lako halieleweki,nimejaribu kusoma zaidi ya mara tatu narudia rudio lakini sioni urari na vina katika andiko lako,yani ni kama umeshtuliwa kutoka usingizini au unamhemko kiasi kwamba unaandika kisichoeleweka,point yako inaweza kuwa ni nzuri lakini uwasilishaji wako hapa jukwaani unamang'amung'amu .
Kama hutojali rudia tena kuandika hili bandiko lako ili lieleweke vema .
nimesoma tena na tena mkuu sijang'amua kitu katika andiko lako,labda pia aina ya mfumo uliotumia kuwasilisha hiyo mada inaweza kuchangiahata mie cjakuelewa wapi hujaelewa, Halaf binaadam tuna level tofauti za ufaham
Zanzibar ni nchi, Watanganyika tusijidanganye. Nioneshe kwenda kibiti kuna geti gani la ukaguzi na immigration office?Zanzibar haina tofauti na Kibiti, Kigoma, Tabora na mikoa mingine ya Tanzania bara, ndio maana raisi wa Zanzibar huwa anakuwa Waziri katika serikali ya Muungano, Wazanzibar hawajitambui sababu ya kula Kenge na Popo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fikiri Umoja kama huu lakini kwa upande wa Ulaya majuzi imeikubalia uanachama kijimamlaka cha Gibraltar ambacho ni kimantik na kwa sheria zote ni sehemu ya Umoja wa Himaya ya Malkia wa Uingereza ikiwa na mamlaka yote ya kujiongeza yenyewe isipokuwa "Sovereignty" lakini ni mwanachama kamili
Acha kulinganisha Gibraltar na Zanzibar! Gibraltar ni nchi inayotawaliwa lakini Zanzibar ni sehemu ya Tanzania! Gibraltar inaweza kudai Jamuhuri, Zanzibar haiwezi kudai jamuhuri kwa kuwa itakuwa uhaini na uasi!