Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Yakwenda kujiajiri nje ya siasa/SII hasatabu gan tena afande
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yakwenda kujiajiri nje ya siasa/SII hasatabu gan tena afande
Wataenda kujiajiri kule wanapohimiza walla hoi wajiajiri Kila kikicha.Wakistaafu siasa familia zao zitaishije?!
Baada ya Mbeleko walioitegemea kukatika. Hahahaaaaa MUNGU WA MBINGUNI ANAKUONAWanatajwa wengi tu kwamba wako mbioni kurejea Chadema baada ya mbeleko waliyoitegemea kukatika
Inasemekana wenye chama hawataki uchotara wanataka kuirudisha CCM katika misingi yake ndiposa makamanda waliofuata vyeo Lumumba wameanza kunyanyapaliwa kuanzia wizarani, Bomani, Mjengoni hadi Chamani.
Kwa kuwa hamna namna makamanda wanawaomba wana chadema wawapokee kama yule mwana " Mpotevu" wa kwenye Biblia.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
😅😅😅Wataenda kujiajiri kule wanapohimiza walla hoi wajiajiri Kila kikicha.
Wanatajwa wengi tu kwamba wako mbioni kurejea Chadema baada ya mbeleko waliyoitegemea kukatika
Inasemekana wenye chama hawataki uchotara wanataka kuirudisha CCM katika misingi yake ndiposa makamanda waliofuata vyeo Lumumba wameanza kunyanyapaliwa kuanzia wizarani, Bomani, Mjengoni hadi Chamani.
Kwa kuwa hamna namna makamanda wanawaomba wana chadema wawapokee kama yule mwana " Mpotevu" wa kwenye Biblia.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Yakwenda kujiajiri nje ya siasa/SII hasa
Wamesha katwa mkia hao. Wabaki huko huko. Hawafai tena kujiunga kwenye zizi lenye watiifu.Wanatajwa wengi tu kwamba wako mbioni kurejea Chadema baada ya mbeleko waliyoitegemea kukatika
Inasemekana wenye chama hawataki uchotara wanataka kuirudisha CCM katika misingi yake ndiposa makamanda waliofuata vyeo Lumumba wameanza kunyanyapaliwa kuanzia wizarani, Bomani, Mjengoni hadi Chamani.
Kwa kuwa hamna namna makamanda wanawaomba wana chadema wawapokee kama yule mwana " Mpotevu" wa kwenye Biblia.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Wakistaafu siasa familia zao zitaishije?!
Kwa kuchukua Chao mapema,?Wameshapata mtaji bwashee
Halima pekee akiomba msamaha arudishwe,wengine hata wakitoa machozi ya damu NOCHADEMA haina nafasi kwa Wasaliti
Wakati ndiye aliyeongoza c17 kusaliti chama kubwa.Halima pekee akiomba msamaha arudishwe,wengine hata wakitoa machozi ya damu NO
S
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wafanye kama wanajikuna popote mlipo wanakijani🤔.CCM haina wanaotaka katiba mpya?
Makamanda gani wanaokubali kununua?Wanatajwa wengi tu kwamba wako mbioni kurejea Chadema baada ya mbeleko waliyoitegemea kukatika