Tetesi: Waliohamia CCM kuunga juhudi za hayati Rais Magufuli sasa kurejea kwa kishindo CHADEMA kudai katiba mpya!

Kwamba Silinde arudi ccm? 😅😅
 
Mzee Halima Mdee jasho linamtoka haoni mbele hajui hatima yake.

Jumamosi iliyopita alijitia kwenda kumsalimu Mwenyekiti kaambiwa atulie tuli.
 
Hakuna chadema siku hizi,wengi wako ccm wanakula mema,asietaka kula nani,hivyo upinzani ni hakuna.
Wajipa moyo ili uweze kupata japo lepe la usingizi. Karibu utachoka kujidanganya.
 
Mzee Halima Mdee jasho linamtoka haoni mbele hajui hatima yake.

Jumamosi iliyopita alijitia kwenda kumsalimu Mwenyekiti kaambiwa atulie tuli.
Kama Yuda Iskariote, alilitafuta mwenyewe, lishakuwa lake mwache akue nalo mpaka afe nalo.
 
Waendage kwa Zito wakaunge Juhudi part two.
 
hahahaaa na mafisadi huwa wanabadirika kumbe akiwa chadema siyo fisadi akiwa ccm fisadi chadomo theory
Akiwa chadema ni kibaka anayejinyea ila akirudi ccm ni mwenzetu waziri mkuu mstaafu na mshauri wa Rais wa ccm.
 
Habari njema
 
Acheni hao wanafiki wasaka tonge msiwape nafasi kabisa huko CDM hao ndiyo wachawi wa demokrasia.
Siku mkipevuka mtaelewa tu, wanasiasa wako kwenye siasa kwa maslahi yao sio kwa ajili ya kuwafurahisha nyie. Kama hilo ni gumu sana kuelewa basi kila la heri.
 

Hahhaaaaa ndiyo yale yale ya akina lowasa n.k......wanaenda vyama pinzani kisha wanarudi nyumbani kwao/ccm😅
 
Nikama wachezaji wa timu ndogo, wanaenda Simba na Yanga kuchukua hela tu,baada ya hapo wanarudi walikotoka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…