waliohitimu mafunzo ya ualimu kwenda jkt

waliohitimu mafunzo ya ualimu kwenda jkt

mwenye shamba

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Posts
978
Reaction score
1,766
habari wadau kwanza kabisa mimi ni member mpya.leo kunamtu kaniambia wale wote waliohitimu mafunzo ya ualimu(mei 2015)watajiunga na jkt.je taarifa hizi zinaukweli wadau?
 
Back
Top Bottom