Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Habari za muda huu wadau,
Mwezi huu November tarehe 20 kulikua na Mkutano wa wawekezaji UTT pale Mwalimu Nyerere Conference. Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu nlishindwa kuhudhuria Mkutano ule.
Kwa niaba ya wenzangu wengine ambao nao walishindwa kuhudhuria huo. Naomben mtueleze agenda zilizoongelewa kwenye Mkutano huo pia Kwa mwaka wa fedha ulioisha June 2023 mifuko ya uwekezaji Ili earn return au gawio la asilimia ngapi.