Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Habari za muda huu wadau,
Mwezi huu November tarehe 20 kulikua na Mkutano wa wawekezaji UTT pale Mwalimu Nyerere Conference. Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu nlishindwa kuhudhuria Mkutano ule.
Kwa niaba ya wenzangu wengine ambao nao walishindwa kuhudhuria huo. Naomben mtueleze agenda zilizoongelewa kwenye Mkutano huo pia Kwa mwaka wa fedha ulioisha June 2023 mifuko ya uwekezaji Ili earn return au gawio la asilimia ngapi.
Samahani mkuu Mimi naomba hii pdf nipate elimu pia kama Una pdf nyingine zinazohusu utt na uwekezaji mwingine nisaidie nipate elimu Nina mpango wa kuanza uwekezaji [emoji120][emoji120]Nilisoma nikascreenshoot hizo sehem kwenye pdf
Saafi .....Naomba kufahamu kuhusu upataji wa kadi za UTT utaratibu upojeNiliwasiliana na customer care wa UTT akanitumia report za mifuko...nitashare
Sijafaham nitampigia yule customer care nimuulize....Saafi .....Naomba kufahamu kuhusu upataji wa kadi za UTT utaratibu upoje
Pdf sina Mkuu... google UTT AMIs itakua vizur zaidi ukisearch kwenye PC au laptop ndo utaona vizur zaidi wameelezea in detail mifuko yoteSamahani mkuu Mimi naomba hii pdf nipate elimu pia kama Una pdf nyingine zinazohusu utt na uwekezaji mwingine nisaidie nipate elimu Nina mpango wa kuanza uwekezaji [emoji120][emoji120]
Hii uwekezaji ukitaka uone matunda wekeza hata miaka 10,25,20 hata 30 au 40Uwekezaje wa 10pc kwa mwaka ni upumbavu