Walioiangusha Bongo Movies sasa wanaipigia debe Taifa stars...

Nadhani atakuwa amekuelewa, kama bado atakuwa team wema tu..
 
Siasa, siasa,siasa.
Ndio zinatupoteza.

Na nina ona kabisa kufuzu ni ndoto.. labda tu wachezaji wenyewe wajiongeze na kupambana.

[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
 
So shameful.
Eti Wema na timu yake watakuwepo. Hivi ni itakuwa football au Bongo movie wanaojiuza?
Whoever thought of that group of irresponsible people is insane.
 
TANZANIA NDIO NCHI PEKEE AMBAYO...
Kiongozi wake anaongoza maombi kwa MUNGU ili awasaidie jambo fulani halafu anaahidi wakifanikiwa basi Baadhi ya mitaa itafungwa na BIA kuuzwa nusu bei...
 
Mpira umevamiwa na wanasiasa ,na wauza sura wa instagram,

Kwa hali hii hatuend popote,

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Nikiskia majina wa mashujaa wa mpira wetu akina george masatu, mwameja etl hadi mwil unasisimka. mkuu hamasa inayofanywa siyo ya ushindi bali nikujaza uwanja na kukuza mapato na siyo ushindi kwa maana ya kupata matokeo. siasa ni watu na ndiyo maana kamati inaongozwa na wana siasa na wanasiasa wanajua namna ya kupata watu...tumia wasaniii🤣🤣🤣 hao legends wanaimpact kwenye matokeo na siyo ushindi
 
Kabisaa...yaani maana katika 10 za wenye followers wengi Ronaldo tu Na Mess ndo hawako Marekani ila kwa kweli wamefeli mnoooo...au wanajua wabongo washamba watajazana taifa kumshangaa Wema Sepetu na wenziwe...

Mimi wamenikera mnoooo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umeongea mazito Sana kama wa kwenye kamati watayaona wayafanyie kazi.. Alafu amasa ya zimamoto ihii, hizi ahadi zilitakiwa zitolewe kitambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wewe akili ya mwenyekiti wa uhamasishaji unaionaje? Kwasababu yeye mwenyewe ni mtu wa vitu fake kuanzia majina hadi vyeti lazima atatafuta watu wa hovyo kama hao uliowaelezea. Wacheza picha za ngono na wahuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutafunga baadhi ya mitaa tule bata.... Vinywaji vitashuka nusu bei kwa masaa 6...! Sijawahi anzisha jambo afu likakakwama...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…