Walioiangusha Bongo Movies sasa wanaipigia debe Taifa stars...

NI TANZANIA PEKEE AMBAKO:
Kiongozi wake anawaambia wananchi kuwa timu ya Taifa ikishinda basi Jumapili usiku mitaa itafungwa huku Watu wakinywa Bia bila kujuwa kuwa Jumatatu ni Siku ya Kazi...
 
Siasa, siasa,siasa.
Ndio zinatupoteza.

Na nina ona kabisa kufuzu ni ndoto.. labda tu wachezaji wenyewe wajiongeze na kupambana.

[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
Ah ah ah apo chini sasa,all rights received [emoji23]

Sent using Brain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…