Walioishi Morogoro na Mwanza kupi kuzuri?

Walioishi Morogoro na Mwanza kupi kuzuri?

Wadau kati ya hiyo mikoa ipi mzuri Kwa familia na makazi na biashara .

Wajameni siitaji majibu ya hovyoo kama mdomo wako ni mchafu sana kapige mswaki kimya a
Sijawahi kufanya maisha Moro japo kila Q lazima nikatize mitaa hiyo.

Mwanza: Population ni kubwa, pana pesa za Madini, Ufugaji, Uvuvi, Kilimo + waajiriwa wa private and public sectors.. Watu wake bado hawana customer care nzuri (wekeza kwenye hili eneo), hali ya hewa nzuri na vyakula vinapatikana. Ukweli mwingine ni kwamba Mwanza town Wasukuma bado ni wengi na hawajachangamka sana, ni rahisi kupata faida kubwa kufanya biashara kwao.

Moro: Sidhani kama pana advantage zaidi ya Mwanza.

Wengine waongeze.
 
Kwa kulea family unahitaji mazingira safi na yenye shule bora au kuwa karibu nazo,Morogoro kwangu inaipiku Mwanza, pili hali ya hewa na upatikanaji wa mahitaji muhimu including usafiri, Morogoro ni top, pia itakuwa rahisi kwako kufuata connections kama ni Dodoma au DSM, nenda na Morogoro
 
Naona unajichekesha mwenyewe, mwanza ina shule bora sana, kuanzia kwenye ubora wa elimu hadi mandhari. Lake school
 
Umeuliza swali zuri Sana, binafsi naamini maeneo yote ni bora kutokana na fursa za kibiashara, kilimo, na uwekezaji.

Kwa kilimo: morogoro iko juu, kwa sababu inakupa nafasi ya kulima mazao mbalimbali iwe maharage,mpunga,etc, pamoja na uwepo wa system ya umwagiliaji maeneo mengi.

Mwanza sijafuatilia Sana ila kule kwa kilimo Cha mpunga wako vizuri pia, sijajua mfumo wa umwagiliaji??
 
Je hali ya hewa
 
Ww ndio inabidi utoe mifano, then upate ushauri. Maana kama kuishi tu, sehem nyingi hapa Tz ziko vizuri, ila harakati zetu za kimaisha na aina ya biashara ndio zina determine mtu apendelee sana maeneo fulani.
 
Back
Top Bottom