Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Sijawahi kufanya maisha Moro japo kila Q lazima nikatize mitaa hiyo.Wadau kati ya hiyo mikoa ipi mzuri Kwa familia na makazi na biashara .
Wajameni siitaji majibu ya hovyoo kama mdomo wako ni mchafu sana kapige mswaki kimya a
SawaWadau kati ya hiyo mikoa ipi mzuri Kwa familia na makazi na biashara .
Wajameni siitaji majibu ya hovyoo kama mdomo wako ni mchafu sana kapige mswaki kimya a
Naona unajichekesha mwenyewe, mwanza ina shule bora sana, kuanzia kwenye ubora wa elimu hadi mandhari. Lake schoolKwa kulea family unahitaji mazingira safi na yenye shule bora au kuwa karibu nazo,Morogoro kwangu inaipiku Mwanza, pili hali ya hewa na upatikanaji wa mahitaji muhimu including usafiri, Morogoro ni top, pia itakuwa rahisi kwako kufuata connections kama ni Dodoma au DSM, nenda na Morogoro
Mf.Inategemea na mishe zako zinazofanya uwe Mwanza au Moro
Je hali ya hewaUmeuliza swali zuri Sana, binafsi naamini maeneo yote ni bora kutokana na fursa za kibiashara, kilimo, na uwekezaji.
Kwa kilimo: morogoro iko juu, kwa sababu inakupa nafasi ya kulima mazao mbalimbali iwe maharage,mpunga,etc, pamoja na uwepo wa system ya umwagiliaji maeneo mengi.
Mwanza sijafuatilia Sana ila kule kwa kilimo Cha mpunga wako vizuri pia, sijajua mfumo wa umwagiliaji??
Upo sumbaNjoo Sumbawanga
Ww ndio inabidi utoe mifano, then upate ushauri. Maana kama kuishi tu, sehem nyingi hapa Tz ziko vizuri, ila harakati zetu za kimaisha na aina ya biashara ndio zina determine mtu apendelee sana maeneo fulani.
Huwa sizingatii Sana hilo, zaidi ya kuwaza mishe za kufanya. Ila kimiundombinu mwanza yupo topJe hali ya hewa
Vipi kuhusu kilimo Cha umwagiliaji ni maeneo gani yako vizuri??Mwanza is far far better than Morogoro, Dodoma, Tanga, Iringa and Mbeya combined...
Mwanza siwalikuwa wanapata migogoro ya kutoana. Uhai. Imepungua??Mwanza is far far better than Morogoro, Dodoma, Tanga, Iringa and Mbeya combined...
Nimeuliza maeneo Kama unayafahamu ??Mwanza is still the best in all aspects..
MorogoroVipi kuhusu kilimo Cha umwagiliaji ni maeneo gani yako vizuri??