MAUBIG JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,039 Reaction score 855 Apr 18, 2012 #1 wanajamii please nifahamisheni kama udom imeishaajiri wale walioitwa kwa awamu ya pili( oral interview)
wanajamii please nifahamisheni kama udom imeishaajiri wale walioitwa kwa awamu ya pili( oral interview)
steveachi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 10,643 Reaction score 12,247 Apr 18, 2012 #2 aaah,kumbe watu washaitwa oral,daaaaa,nishaliwa dude,kama vp ngoja nizichange nitafute nauli niende hata china kutafuta maisha,manak bongo kila kazi natoswa maganga na wakati vyeti safi tu
aaah,kumbe watu washaitwa oral,daaaaa,nishaliwa dude,kama vp ngoja nizichange nitafute nauli niende hata china kutafuta maisha,manak bongo kila kazi natoswa maganga na wakati vyeti safi tu