Walioitwa kwenye oral interview UDOM

Walioitwa kwenye oral interview UDOM

MAUBIG

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,039
Reaction score
855
wanajamii please nifahamisheni kama udom imeishaajiri wale walioitwa kwa awamu ya pili( oral interview)
 
aaah,kumbe watu washaitwa oral,daaaaa,nishaliwa dude,kama vp ngoja nizichange nitafute nauli niende hata china kutafuta maisha,manak bongo kila kazi natoswa maganga na wakati vyeti safi tu
 
Back
Top Bottom