Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kuna clip iko kwenye mitandao ikimuonyesha Waziri wa Ardhi, Bwana Lukuvi akitaka maeno ya yaliyotengwa kwa akili ya viwanda huko barabara ya Pugu na sasa yanatumika kwa shughuli nyingine yachunguzwe na hatua zichukuliwe.
Ameagiza vibali vichunguzwe na waliobadili matumizi ya viwanja hivyo kwa mfano kuweka ma-godown badala ya kujenga viwanda wajiandae.
Pia kasema zoezi hili pia litahusu maeneo mengine ya nchi.
Wacha tusubiri.