Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Acha kudanganya watu labda kama unajenga kibanda kijijini ila ujenzi ni gharama, take it from me.Nimejaribu kufuatilia kauli za waliojenga nyumba. Huwa wanapenda kuwaogopesha waliopanga kuwa ujenzi ni gharama.
Huwezi kutana na mtu akakutia moyo hata kidogo. Lengo la wengi waliojenga ni kuplay god. Yani wanapenda waheshimike na kujionesha kuwa wana mawe marefu.
Mimi ninapopiga gharama za ujenzi, napata gharama za chini kama ambavyo Magufuli alifanya kwenye ujenzi wa hostel za UD. Tukienda kwa stail yake, mbona kila mtu atakuwa na ka mjengo!
Ukiwa na kiwanja, gharama ya nyumba ya vyumba vitatu, kwa basic finishing ni around 20M. With the same house some one will mention kuwa ametumia milioni mia! Utadhani kajengea mchanga wa makinikia.Gharama ya chini shilingi ngapi?
Acha kudanganya watu labda kama unajenga kibanda kijijin ila . Matofali jenz ni gharama .take it from me
Sent from my VFD 300 using JamiiForums mobile app
Ndio nyie tunaowazungumzia.Acha kudanganya watu labda kama unajenga kibanda kijijin ila ujenz ni gharama .take it from me
Sent from my VFD 300 using JamiiForums mobile app
Acha mupigilia msumali wa mwisho, ujenzi ni gharama kulingana na sehemu unayojenga. Mfano unanunua malighafi na kusafilisha kwa umbali mrefu lazima uone gharama, lakin kama malighafi zimekuzunguka gharama itatoka wapi, chukulia mfano kwa wakazi wa Dar vifaa vya ujenzi gharama ipo chini sana sema viwanja ndio tatizo.Acha kudanganya watu labda kama unajenga kibanda kijijin ila ujenz ni gharama .take it from me
Sent from my VFD 300 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unanikumbusha kipindi mzee anajenga nyumba yake ya uzeeni, alifanya utafiti wake na kupanga bajeti kama unavyopanga hapo... Akafikia kwenye conclusion eti millioni 60 inatosha kabisa!!!!Ndio nyie tunaowazungumzia.
Nyumba ya mabati sabini kwa elfu kumi na tano bati moja ni milioni moja hiyo.
Mbao za milioni na nusu zinatosha kupaua.
Matofali elfu mbili na mia tano ni milioni tatu hiyo, cement ya kujengea mifuko mia ni sh milioni moja hiyo.. Fundi wa kujenga na kupaua, milioni nne hiyo.. Hizo gharama unazozungumza, unajenga shule?
Vipi kuhusu FINISHINGI mkuu. Masinki. Tiles. Rangi. Ripu. Madirisha. Milango. Umeme. Mabomba ya maji. Vyoo. Dari. Septic tanks. Sewerage systems.Ndio nyie tunaowazungumzia.
Nyumba ya mabati sabini kwa elfu kumi na tano bati moja ni milioni moja hiyo.
Mbao za milioni na nusu zinatosha kupaua.
Matofali elfu mbili na mia tano ni milioni tatu hiyo, cement ya kujengea mifuko mia ni sh milioni moja hiyo.. Fundi wa kujenga na kupaua, milioni nne hiyo.. Hizo gharama unazozungumza, unajenga shule?
Usiogope mkuu ujenzi ni mpango WA muda utakaoupangilia wewe (hapa hela za pembeni hazihusiki! Mm nimejenga nyumba for just 72.5m. Kwa miaka mitatu to! Ni mipango tu ya saraly yako Hakuna uchawi hapa! Jenga nyumba kwa percentage yako ya mshahara mm nilikuwa nikiweka 30%ya salary jenga kwa kiwango cha kipato chako! Si kujenga kwa kujifanananisha na Fulani, hata ukijenga miaka kumi Nani WA kukuuliza!Nimejaribu kufuatilia kauli za waliojenga nyumba. Huwa wanapenda kuwaogopesha waliopanga kuwa ujenzi ni gharama.
Huwezi kutana na mtu akakutia moyo hata kidogo. Lengo la wengi waliojenga ni ku play god. Yani wanapenda waheshimike na kujionesha kuwa wana mawe marefu.
Mimi ninapopiga gharama za ujenzi, napata gharama za chini kama ambavyo Magufuli alifanya kwenye ujenzi wa hostel za UD. Tukienda kwa stail yake, mbona kila mtu atakuwa na ka mjengo!
Kwa vijana wa mjini wanaita kupanga matofali... Huko kwenye finishing ndio tunakoachana kwani mwingine tiles ya mchina box 20,000/tsh na mwingine box 65,000/=tsh... bati unaweka la 16,000/= mwingine anaweka la 40-80,000/=.... Ujenzi sio kupanga tofali na ndio maana nyumba haionekani size hadi imeisha vizuri. Bado hayo uliyotaja hapo... shikamoo ujenzi...Vipi kuhusu FINISHINGI mkuu. Masinki. Tiles. Rangi. Ripu. Madirisha. Milango. Umeme. Mabimba ya maji. Vyoo. Dari. Septic tanks. Sewerage systems.
Yaani kwa ufupi hayo uliyotaja ni robo ya gharama zote.
Na huku ndo kwenye gharama sio kule kwenye kupanga tofali, mi nilinunua vifaa vya umeme 2m nikavibeba kwa bodaboda yaani vyepesiiiiVipi kuhusu FINISHINGI mkuu. Masinki. Tiles. Rangi. Ripu. Madirisha. Milango. Umeme. Mabimba ya maji. Vyoo. Dari. Septic tanks. Sewerage systems.
Yaani kwa ufupi hayo uliyotaja ni robo ya gharama zote.
Usiogope mkuu ujenzi ni mpango WA muda utakaoupangilia wewe (hapa hela za pembeni hazihusiki! Mm nimejenga nyumba for just 72.5m. Kwa miaka mitatu to! Ni mipango tu ya saraly yako Hakuna uchawi hapa! Jenga nyumba kwa percentage yako ya mshahara mm nilikuwa nikiweka 30%ya salary jenga kwa kiwango cha kipato chako! Si kujenga kwa kujifanananisha na Fulani, hata ukijenga miaka kumi Nani WA kukuuliza!