Waliojiajiri toeni ushuhuda na mtupe moyo wengine!

Adimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
661
Reaction score
297
Baada ya kutoka kwenye ajira nimekua na mipango mingi sana ya kufanya, lakini kila ninapotaka ushauri kwa watu wa kalibu wanapinga wazo ninalitaka kulifanyia kazi. Biashara kama tano hivi zote ninagairi kwa kukosolewa na watu wa kalibu kua hazifai.

Sasa nimepata jibu kua ili uweze kujiajiri ni vema uanze mwenyewe watu wa kalibu waje kuona mafanikio lakini ukisema utake ushauri kabla ya kuanza huwezi kufanya chochote hasa kwa sisi watanzania tunaoamini zaidi kiajiriwa!
 
Na mipango isiwe mingi, sio unakaa unafikiria kufanya vitu 100 tuliza akili wekeza nguvu na kufatilia jambo moja kikamilifu, na haimaanishi ukianza ufikirie mafanikio kuna vikwazo vingi sana na changamoto nyingi sana ukizitumia hizo kama sehemu ya kujifunza ili usonge mbele zaidi uta win.
 
Fanya maamuzi magumu lkn yaki-tick mpk watoto wako watakuja kua proud kutaja jina lako mbele ya kadamnasi.
 
Shukran
 
Siku zote kuna watu wanafanya ama washafanya hicho unachotaka kuanza, so wanapokuambia kaa chini na tafakari.

Kuna watu wanakuja kuomba ushauri ukiwaambia ukweli wanaona hujui kitu.
 
Tafuta Post yangu ya Burn the Boat.

Pia Kitendo cha kuanza kuwaliza watu maana yake tiyari wewe binafisi usha ingiza Uoga ba hujiamini kabisa. Na hapo kifuatacho ni kiendelea kuingiza Hofu.

Sikiliza. Unacho kiamini wewe usitarajie hata mke wako akiamini. So how come mtu back aje akiamin?

Unacho fanya ni kuforce watu waamini idea yako kitu ambacho hakipo kabisa.

Idea yako unatakiwa kuimini mwenyewe make ume initiate wewe mwenyewe.

Watu wanafanyaga makosa sana etu kwenda kuomba ushauri wa kama wafanye au waache hilo ni kosa kubwa mno
 
Nimekupata vema
 
huenda ni kweli hilo wazo lako litakugharimu mkuu
haiweizekeani hao wote waseme sio zuri kwako

si mbaya ukatushirikisha pia tuone litakufaa au laa
 
huenda ni kweli hilo wazo lako litakugharimu mkuu
haiweizekeani hao wote waseme sio zuri kwako

si mbaya ukatushirikisha pia tuone litakufaa au laa
Nikiwaza kuingia kwenye kilimo, nikashauriwa kina hasara sana na ushahidi wa waliofeli ukiwepo, nikawaza kutafuta noah au hiace nipakie abiria, nikawaza kua wakala wa bank an miamala ya tigopesa, au nipige mishe za bajaji nikiwa dereva yoote hayo nikapata changamoto zake tu ikiwa wapo wanaofanya na wanafaidika
 
Do one thing, only one thing. A lion is;
1. Not the smartest animal in the jungle.
2. Not the tallest animal in the jungle we all know that
3. Not the strongest animal in the jungle we all know that!
But all animals both the taller, stronger and wiser than a lion are afraid of it. Why? Because;
1. The lion has got focus, in a group of thousands of animals, it can pick only one, the only one to die with.
2. It doesn't fear any thing, you be an elephant, giraffe, or anything; to the lion you are just "a lunch".
 
Akili yao si yako na akili yako si yao! Fanya unachokiamini.

Don't fail to start. Start to fail. And if you fail, do again and again and again... then you'll be success!

(KIINGEREZA KIGUMU JAMANI πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ ILA NI KITAMU).
 
[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Akili yao si yako na akili yako si yao! Fanya unachokiamini.

Don't fail to start. Start to fail. And if you fail, do again and again and again... then you'll be success!

(KIINGEREZA KIGUMU JAMANI πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ ILA NI KITAMU).
Nimekupata mkuu
 
Nimekutana na hali ka hiyo na imenikwamisha sana. Sasa nimeamka kufanya yangu bila kumhusisha mtu.

Kitu kingine nimejifunza; usiombe ushauri wa jambo kwa watu wasio na uzoefu kwa jvo unaloombea ushauri.

Kwafano unaomba mtu ushauri kuhusu biashara ya boda boda, wakati hajawahi kuendesha ama kumiliki boda boda. Unadhani atakupa ushauri gani? Zaidi ya kukukatisha tamaa.

Mimi ni moja ya watu wanataka kuacha kazi na sasa naelekea kuamua bila kumshirikisha mtu yeyote na safari niisha ianza.
 
Karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…