Adimu
JF-Expert Member
- Aug 22, 2013
- 661
- 297
Baada ya kutoka kwenye ajira nimekua na mipango mingi sana ya kufanya, lakini kila ninapotaka ushauri kwa watu wa kalibu wanapinga wazo ninalitaka kulifanyia kazi. Biashara kama tano hivi zote ninagairi kwa kukosolewa na watu wa kalibu kua hazifai.
Sasa nimepata jibu kua ili uweze kujiajiri ni vema uanze mwenyewe watu wa kalibu waje kuona mafanikio lakini ukisema utake ushauri kabla ya kuanza huwezi kufanya chochote hasa kwa sisi watanzania tunaoamini zaidi kiajiriwa!