Waliojitokeza kuinunua Simba Sports Club.

Abbasfarudume

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
1,625
Reaction score
1,326
Bakhresa. Billion 25. Azim dewji. Billion 18. Kassim dewji. Billion 21. 5. Waliojitokeza kuinunua Yanga team. Mzee Yahaya akilimali. Nyumba ya urithi. Kingwendu. Million 5. Hamisa mobeto. Million 4. POVU RUKSA.
 
[emoji23] [emoji3] [emoji13] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377]
 
Ila yanga itakuwa sio fair kuchukua hii ndoo tena japo dalili zinaonesha hivyo angalau iwaachie na wengine japo kidogo
Sasa wa kumuachia ndio haonekani. Si unaona watu wenyewe ndio hawa, badala ya kucheza mpira wako bize kuandaa maneno.

Mimi nina mazoea na Simba, duru ya kwanza wanatuimbia 'taarab', duru ya pili wanatukanana pale sokoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…