Waliojitokeza kuinunua Simba Sports Club.

Waliojitokeza kuinunua Simba Sports Club.

[emoji23] [emoji3] [emoji13] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377]
 
Yanga wakitafta udhamini
tenor.gif
tenor.gif
 
Ila yanga itakuwa sio fair kuchukua hii ndoo tena japo dalili zinaonesha hivyo angalau iwaachie na wengine japo kidogo
Sasa wa kumuachia ndio haonekani. Si unaona watu wenyewe ndio hawa, badala ya kucheza mpira wako bize kuandaa maneno.

Mimi nina mazoea na Simba, duru ya kwanza wanatuimbia 'taarab', duru ya pili wanatukanana pale sokoni
 
Back
Top Bottom