Waliojitokeza kuinunua Simba Sports Club.

Sasa wa kumuachia ndio haonekani. Si unaona watu wenyewe ndio hawa, badala ya kucheza mpira wako bize kuandaa maneno.

Mimi nina mazoea na Simba, duru ya kwanza wanatuimbia 'taarab', duru ya pili wanatukanana pale sokoni
Sio mwaka huu, mwaka huu ndoo Msimbazi mkuu.
 
Kwa taarifa tu hadi sasa ni 0-1, kipindi cha pili kinaanza
 
Bakhresa. Billion 25. Azim dewji. Billion 18. Kassim dewji. Billion 21. 5. Waliojitokeza kuinunua Yanga team. Mzee Yahaya akilimali. Nyumba ya urithi. Kingwendu. Million 5. Hamisa mobeto. Million 4. POVU RUKSA.
Braza si uliaga kwamba jf umepashindwa hivyo unaondoka? Vip tena unataka na sisi team Young Africans tupashindwe jf?
 
Braza si uliaga kwamba jf umepashindwa hivyo unaondoka? Vip tena unataka na sisi team Young Africans tupashindwe jf?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Nimehairisha mkuu, nina imani na wewe utahairisha kuondoka mkuu.
 
JMURO AKILIPWA NA ccm-academia atawasaidia shs200,000, Le baharia akilipwa na RZ1 atawanunulia chakula pale serena,AKILIMALI atawasaidia power benki bure, steve nyerere akiuza movie za uzalendo atawachangia maji na hamisa mobeto atawachezea atawasaidia kufungua kesi ya madai
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…