Waliojitokeza kuwania tuzo ya uimbaji bora

ila sasa ungeweka na na silabi nne tu kwenye kiitikio kwani sijaona chorus yake hapo na mbona ujaweka note ili ya wimbo wako, unaimba kwa kufuata kanuni hii DOLEMIFASILATIDO AU DOTILASIFAMILEDO nambie bestito
:a s 20::a s 20::a s 20::a s 20::a s 20::a s 20::a s 20::a s 20::a s 20:
 
mie najitoa sitaki kushiriki shindano..
na huu ndio wangu msimamo... ladyfurahia najua utalia...lkn vumilia...
kuelekea mwezi wa toba basi tuanze kuomba
najitoa maana najikubali..kwa hiki kipaji...
hapo bado cjapanda kwenye jukwaa..nyota ishang'aaa
naona wengine wapinza..wanabung'aaaaa

cc Heaven on earth
 
Last edited by a moderator:
Ok ladyfurahia nitaleta hayo mashairi
nipe time kidogo
 
Last edited by a moderator:
kwa mbaali naona kuna vina..
 
pls usijitoe best mbona wafanyahivyo jamani sasa unataka uwe nani tena hujui kuwa list inapungua badala ya kuongezeka nani amekuuzi tena jamani niambie sasa ili nimshughulikie sema sasa hapa tumwaibishe shetani
..tafadhali mie najitoa..kwa sababu zilizo ndani ya uwezo wangu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…