ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
- Thread starter
-
- #41
sasa producer utamshindanishaje..na underground...
mie najitoa sitaki kushiriki shindano..
na huu ndio wangu msimamo... ladyfurahia najua utalia...lkn vumilia...
kuelekea mwezi wa toba basi tuanze kuomba
najitoa maana najikubali..kwa hiki kipaji...
hapo bado cjapanda kwenye jukwaa..nyota ishang'aaa
naona wengine wapinza..wanabung'aaaaa
cc Heaven on earth
Naandaa zeze langu.
Bado yupo si unajua mbwembwe za washindani wetu tu!!!!!!
jamani jamani mwenzio nimeanza kutubu mapema.
Nimetomboka (anasa)sana ujue
naona kiswahili hakijaeleweka hapa...vipi niongee..ki jerumani..nini?sasa ndugu kumbe ni hilo tu tatizo dogo sana hilo basi nitakuweka kwenye mtunzi bora ushindanishwe kule au hapo napo nimekosea tena bestito?
uje kwenye shindano mi ntakushangilia
Kunishangilia tu peke yake hakutoshi kulipa deni bana...