Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
watu waanze kunipigia kura CCF 01. Hao majaji watakavyo nichagua watu watadhani nimewahonga coz nina uhakika wa kupata kura mia kwa mia. mi nasubiri siku ifike. mia
Hivi wewe ladyfurahia mbona simuoni my wife wangu mulisti? Hujui kuwa bila yeye sitaweza kuperform siku hiyo!?au unatafuta kunigombanisha nae...
naona kiswahili hakijaeleweka hapa...vipi niongee..ki jerumani..nini?
watu waanze kunipigia kura CCF 01. Hao majaji watakavyo nichagua watu watadhani nimewahonga coz nina uhakika wa kupata kura mia kwa mia. mi nasubiri siku ifike. mia
Haya ndio maandalizi ya kumpokea Obama?
kumbe umelitambua hilo bestito ndo tunaanza hayo maandalizi best weew utakuwepo?
11p1j9....ongea lugha zozote za hapa duniani nitakuelewa kwani kwa lugha ni alama a kifaransa, kijerumani, kihebish, kitaliano, kiinglishi, kichina, kimozambique, na kikabila vilevile hujakosea ongea sasa
wewe wewe! acha hizo. @bujiibuji hana namba kutokana na ulivyo anzisha thread. angalia ulivyo weka comma. Bujibuji mpe namba 0. hahahahaaaa....!!!. hii imekula kwake!. miahebu cheki vizuri hiyo sio namba yako ni ya Bujibuji angalia list vizuri ucheki namba yako wasijekukupigia kura ikaangukia kwa mwingine
Bado sijapata ticket...