Waliokamatwa kwa maandamano waachwe huru

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
Niliona polisi wakiripoti kuwakamata baadhi ya vijana kuwa walileta fujo siku ya uchaguzi.

Kutokana na yaliyotokea, natoa wito kwa serikali kuwaachia huru vijana hao ili watu wapunguze maumivu
 
Waachiwe wakati wamechoma na kuiba mali za watu!!? Are you real serious with your thread?
 
Back
Top Bottom