Analogia Malenga Platinum Member Joined Feb 24, 2012 Posts 5,292 Reaction score 10,842 Nov 6, 2025 #1 Niliona polisi wakiripoti kuwakamata baadhi ya vijana kuwa walileta fujo siku ya uchaguzi. Kutokana na yaliyotokea, natoa wito kwa serikali kuwaachia huru vijana hao ili watu wapunguze maumivu
Niliona polisi wakiripoti kuwakamata baadhi ya vijana kuwa walileta fujo siku ya uchaguzi. Kutokana na yaliyotokea, natoa wito kwa serikali kuwaachia huru vijana hao ili watu wapunguze maumivu
U UCD JF-Expert Member Joined Aug 17, 2012 Posts 10,578 Reaction score 7,579 Nov 6, 2025 #2 Analogia Malenga said: Niliona polisi wakiripoti kuwakamata baadhi ya vijana kuwa walileta fujo siku ya uchaguzi. Kutokana na yaliyotokea, natoa wito kwa serikali kuwaachia huru vijana hao ili watu wapunguze maumivu Click to expand... Waachiwe wakati wamechoma na kuiba mali za watu!!? Are you real serious with your thread?
Analogia Malenga said: Niliona polisi wakiripoti kuwakamata baadhi ya vijana kuwa walileta fujo siku ya uchaguzi. Kutokana na yaliyotokea, natoa wito kwa serikali kuwaachia huru vijana hao ili watu wapunguze maumivu Click to expand... Waachiwe wakati wamechoma na kuiba mali za watu!!? Are you real serious with your thread?