Waliokamatwa kwa tuhuma za kununua Makahaba Ubungo kumburuza mahakamani Mkuu wa Wilaya kwa kudhalilishwa! Wadai walifuatwa Guest!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kosa la kwenda guest😂😂😂😂
Ifike mahali wakuu wa nchi wapate busara, wawafute kazi wajinge kama hawa.

Haiwezekani mtu atumie rasilimali za walipakodi wa nchi hii kushughulika na watu wazima wanaotiana kwa hiari yao.

Huu ni ujinga wa hali ya juu sana.
 
Mtu anayenunua Kahaba hivi anaitwaje?
Tusaidiane hapo..!

Ndo Muasherati?

Malaya tushawaona sana...Kesi na ifunguliwe, tuwaone pia waasherati...!

Nasikia Maambukizi ya Ukimwi yameanza kuongezeka tena!!😁
 
Hii kitu hii, imenionesha kwamba tuna viongozi vilaza sana , nimeona ile clip kuna hukiukwaji wa haki za binadam.

Mfano dada mmoja ameulizwa akajibu nimekuja na mtu wangu na bado akakamatwa,

Hizi sifa za mkuu wa wilaya soon zitaenda mtokea puani , watamshitaki kwa udhalilishaji huu mwishowe ataanza piga mayowe kama Mwijaku
 
H
Hadi polisi ajifanye kahaba kwani athari za makahaba ni kubwa hivyo kiuchumi na kimaadili!?
 
Nilishangaa anawagongea milango na kuwaweka Chini ya Ulinzi. Kuna mmama alikuwa na mume wake ila hawakumsikiliza wakamuweka Chini ya Ulinzi na kuondoka naye
mimi kama nimeenda pale kulala kwa halali na sina mwanamke, wala nisingefungua. ningemwacha ahangaike hadi avunje mlango na ningemfukuza mbele ya kamera.
 
Uongo. Hakuna kitu kama.hicho. kwanza leo wameomba pooo.
 
Imagine uliipanga Pisi ije ukaitumia nauli.. ww ukatangulia huko GESTI..

Pisi yenyewe haikuja.. Nauli imeliwa bado na hao jamaa wakakubebelea kwenda kituoni😅.

Nendeni sehem za maana hzi Gesti za buku buku ndio shida yake hii.
Na picha na video umechukuliwa na upo youtubu teyri si hatarii hii jamani🤣🤣🤣🤣

Lazima useme naenda kumfungulia mashitaka mkuu wa wilayaa..sio poa 🤣🤣
 
Kufuata mtu gesti hiyo sio sawa, yeye angewafuta humo wanamokaa kusubiri wateja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…