Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 5,994
- 8,696
mmmhh ahaa kumbeeeee..Mmeanzaaaa, sasa ushoga umekujaje hapaaa?
unataka niseme umalaya tu?
Yani ni hiviii mkuu wa wilaya ya ubungo we pambana na malaya wote na wateja wao.
Ila usiwasahau mashoga, make sure nao unawatembelea na wakamatwe. Ukiona mahakaman kunaugumu. Kosa la uzembe na uzururaji linaingia kwa hao viumbe ambao ambao hawataki kufanya kazi ila kuzurura tu.
Yan nyooka nao sambamba