Wafufuatao mnaomba kufika kwa KakaKiiza kabla ya saa tisa jioni naninaomba ambao sijawa taja tusubiri EID Pili!Asanteni Invisible PakaJimmy mtu chake Rutashubanyuma Erickb52 Kongosho BADILI TABIA Preta Bajabiri Janjaweed FirstLady1 Brigita afrodenzi Chauro Bujibuji FirstLady bht Lekanjobe Kubinika KakaJambazi Kaa la Moto Katavi Kaizer Mr Rocky Mama Mdogo MwanajamiiOne Teamo The Finest Nyani Ngabu Mtambuzi King Kong III king'asti lemmy
Mkuu hakuna shaka karibu tugonge hata Valeur moja:eek2:Thanks KakaKiiza sikuona hii mapema maana nilikuwa nakula ndizi huko kusikofikika net..... Laaaaaaaaa nimemiss mengi! bado kuna masalia?
Mkuu haina tabu sikuku zipo nyingi hata weeked ni siku kuu kaka nikujipanga karibu sana!Kakakiiza, hata kama nimeikosa pilau uliyoiandaa kwa wageni waalikwa, nashukuru kwamba hukuniacha mbali. Du! siku nyingine ni vizuri kupigiana simu bwana, mtandao ulilala ndio leo unaamka na pilau ndiyo hiyooooooooo! Thanx anyway.
Wafufuatao mnaomba kufika kwa KakaKiiza kabla ya saa tisa jioni naninaomba ambao sijawa taja tusubiri EID Pili!Asanteni Invisible PakaJimmy mtu chake Rutashubanyuma Erickb52 Kongosho BADILI TABIA Preta Bajabiri Janjaweed FirstLady1 Brigita afrodenzi Chauro Bujibuji FirstLady bht Lekanjobe Kubinika KakaJambazi Kaa la Moto Katavi Kaizer Mr Rocky Mama Mdogo MwanajamiiOne Teamo The Finest Nyani Ngabu Mtambuzi King Kong III kingasti lemmy
Ahaaaa mbona yeye sikumuona??Mwambie mimi ni ndugu yake!!aachane na tofauti zilizopo kwani ni yeye alizisababisha!Ingawa hujanialika, sio mbaya.
Langu leo ni POLE SANA kwa yaliyokufika mkuu, nimepata taarifa this morning thru
E. Mambali wa Sinza Moli.
Ha ha ha,Ahaaaa mbona yeye sikumuona??Mwambie mimi ni ndugu yake!!aachane na tofauti zilizopo kwani ni yeye alizisababisha!