Ukiambiwa u are not secure wanamanisha nn?
Coz kwenye page yangu wameniandikia ivyo
Best angu Baed RUCO kapata 0%.. Inasikitisha!
Comes From Latin securus (of persons, free
from care, quiet, easy; in a bad sense,
careless, reckless; of things, tranquil, also
free from danger, safe,! In short wanamaanisha pesa zao hazitakua mahali salama
daaah,inatia huruma sana unakuta mtu anasoma tangu primary hadi A'level shule ya serikal bt anakosa mkopo jaman kiuhalisia hata hawalioni hilo hata kama course haina loan kwann wasiangalie hilo japo kwa jicho la pembeni,watoto wa masikini tunakosa afu walionazo wanapata,mwaka huu inabidi niende jkt tu heslb wameninyima mkopo siwez kujilipia ada accomodation& food!
Comes From Latin securus (of persons, free
from care, quiet, easy; in a bad sense,
careless, reckless; of things, tranquil, also
free from danger, safe,! In short wanamaanisha pesa zao hazitakua mahali salama
usimcheke na kumdhihaki mwenye njaa kwa kuwa wewe umeshiba
Wewe ni ------.....is this right time for jokes??...shame on u ---- wewe
Kweli tumekosa mkopo siamini ninachokiona
Me inaniuma mpaka usingizi nimekosa.! Its better 2 die than to live as a Refugee in our motherland
Priority tena engineering coz nakosa mkopo hata 50%?? Shule zote za serikali nilizosoma na bado wamenichinjia baharini,
duuh. Pole Mkuu.. Tusubiri hizo rufaa tuone kama zitasaidia.!
Ukiambiwa u are not secure wanamanisha nn?
Coz kwenye page yangu wameniandikia ivyo
sio vizuri koz huu ni mwanzo umepata mwaka huu je mwakani una uwakika wakaendelea kukupa huo mkopo cheka kma upo third year una malizia na miaka yote wamekupa fungu lakoComes From Latin securus (of persons, free
from care, quiet, easy; in a bad sense,
careless, reckless; of things, tranquil, also
free from danger, safe,! In short wanamaanisha pesa zao hazitakua mahali salama
Kwann usiapply faculty zenye priority kama ualimu?? Tatizo vijana mnaudharau ualimu, sasa mtakula jeuri yenu!