Waliokosa mkopo waongezeka mwaka huu wa 1013

Waliokosa mkopo waongezeka mwaka huu wa 1013

daah kaka mwambie mzee ajipange tuu...... huna kitu apooo xo xorry
:confused3::confused3:
 
Ukiambiwa u are not secure wanamanisha nn?
Coz kwenye page yangu wameniandikia ivyo

Comes From Latin securus (“of persons, free
from care, quiet, easy; in a bad sense,
careless, reckless; of things, tranquil, also
free from danger, safe,!
In short wanamaanisha pesa zao hazitakua mahali salama
 
usimcheke na kumdhihaki mwenye njaa kwa kuwa wewe umeshiba
 
daaah,inatia huruma sana unakuta mtu anasoma tangu primary hadi A'level shule ya serikal bt anakosa mkopo jaman kiuhalisia hata hawalioni hilo hata kama course haina loan kwann wasiangalie hilo japo kwa jicho la pembeni,watoto wa masikini tunakosa afu walionazo wanapata,mwaka huu inabidi niende jkt tu heslb wameninyima mkopo siwez kujilipia ada accomodation& food!

Daah pole sana kaka...usikate tamaa mungu yupo nawe
 
Comes From Latin securus (“of persons, free
from care, quiet, easy; in a bad sense,
careless, reckless; of things, tranquil, also
free from danger, safe,!
In short wanamaanisha pesa zao hazitakua mahali salama

Wewe ni ------.....is this right time for jokes??...shame on u ---- wewe
 
Me inaniuma mpaka usingizi nimekosa.! Its better 2 die than to live as a Refugee in our motherland

Priority tena engineering coz nakosa mkopo hata 50%?? Shule zote za serikali nilizosoma na bado wamenichinjia baharini,
 
Priority tena engineering coz nakosa mkopo hata 50%?? Shule zote za serikali nilizosoma na bado wamenichinjia baharini,

duuh. Pole Mkuu.. Tusubiri hizo rufaa tuone kama zitasaidia.!
 
ualimu pia mwaka huu wamebana saaan kilichobaki ni kutafuta kazi na kufanya tu maana watoto wa matajiri wengi wamepata then wakajaza vijinafasi vichache kwa wasiojiweza bt sio haki ata kidogo...mimi nina kila sifa ya kupata mkopo tena kwa kuepuka kukosa mkopo nkajaza education nkapata chuo stefano moshi memorial university bt wamenbania mkopo kabisaaa
 
Unaposema walioomba mwaka wa kwanza 23,000 wamekosa mkopo ni sawa na % gani ya walioomba mwaka wa kwanza?
Nachokiona ni bodi kujiwekea mazingira ya kula rushwa kwa watao appeal. Ni sifa zipi ambazo wamezikosa sasa zitazowapa mkopo baada ya appeal? Au form za appeal zinamaelezo ya ziada kwa zile form za awali.
 
Nahisi bodi inahitaji wataalamu wakufanya hesabu za mkopo. Maana ukiangalia pesa walizotoa zingepangwa vizuri basi kila mwanafunzi angestahili kupata chochote
 
Tunajenga jamii ya watu wasioipenda serikali yao na nchi yao. Uzalendo haujengwi na matabaka. Nasikitishwa na matokeo ya bodi hii kwani watu 23,000 walio na sifa kukosa ni sawa na kusema ndoto za kielimu za maelfu hao zinazikwa. Binafsi nimeudhika sana.
 
Comes From Latin securus (“of persons, free
from care, quiet, easy; in a bad sense,
careless, reckless; of things, tranquil, also
free from danger, safe,!
In short wanamaanisha pesa zao hazitakua mahali salama
sio vizuri koz huu ni mwanzo umepata mwaka huu je mwakani una uwakika wakaendelea kukupa huo mkopo cheka kma upo third year una malizia na miaka yote wamekupa fungu lako
 
Back
Top Bottom