jimmymziray
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 816
- 515
Nchi hii inawaandaa ma Al shabaab. Watu wanaokatishwa tamaa ni rahisi sana kushawishiwa na kufanya mambo ya kushangaza. Nakumbuka serikal ilikuwa inajigamba kuwa watu wote walio na sifa watapewa mkopo. Hawa wote wametoka wapi?
kwel kabsa nahisi ndo maana vijana wengi watanzania wanajhusisha na biashara ya dawa za kulevya,kwa sababu wanakosa motivation ya kuwafikisha katika ndoto zao..itakua rahisi pia kujihusisha na makundi ya kigaidi...
Kwann usiapply faculty zenye priority kama ualimu?? Tatizo vijana mnaudharau ualimu, sasa mtakula jeuri yenu!
Hao wamesoma shule za serikali au za private?
mm sijui nimepata....
Weka namba ya mtihani wa kidato cha nne na mwaka uliomaliza watu wakuangalizie
Kwann umjudge mtu kutumia shule alizosoma..wengine darasa la saba hakuchaguliwa ikabidi aende private..kule kajikamua kafaulu kaenda government alevel...sasa akija kupata chuo unambagua..this z ----ing business
Kwann usiapply faculty zenye priority kama ualimu?? Tatizo vijana mnaudharau ualimu, sasa mtakula jeuri yenu!
Best angu Baed RUCO kapata 0%.. Inasikitisha!
Priority tena engineering coz nakosa mkopo hata 50%?? Shule zote za serikali nilizosoma na bado wamenichinjia baharini,