jimmymziray
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 816
- 515
Ndugu zangu mliokosa mkopo poeni sana8baomba muwe watulivu huenda bodi watatoa awamu nyingine,binafsi namshukuru mungu nimeoata asilimia mia,jaribuni kufatilia kama kuna jinsi mtaweza kuappeal huenda ikawa bahati yenu,tutakuw pamoja kwenye kipindi hiki cha kujua mwisho wenu,jaribuni kutoa updates kwa atakayepata any update kusudi wengine wajue yanayoendelea,POLENI SANA