Waliokosa nafasi ya kusoma Stashahada ya Ualimu UDOM

Waliokosa nafasi ya kusoma Stashahada ya Ualimu UDOM

chance boy

Member
Joined
Jul 10, 2015
Posts
58
Reaction score
22
Hebu nisaidieni serikali ina mpango gani na hao ambao hawajapata nafasi ya kusoma stashaada ya uwalimu UDOM
 
yaan xijui kweli maan hii wzara ya elimu xjui imekuwaje
 
dah hivi kuna waliokosa jamani???
na waliokosa wapo wangapi?? mbona serikali yetu inatuvunja matumaini sisi wanafunzi
 
Hebu nisaidieni serikali ina mpango gani na hao ambao hawajapata nafasi ya kusoma stashaada ya uwalimu UDOM

waka apply ata vyuo vingine wanaweza wakapata.
ata app ya health bado ipo open ila mwisho jumamosi ina be closed up
 
nadhani hao wa udom wamepangiwa moja kwa moja , sasa wewe cha kufanya omba sasa nacte hujachelewa mwisho wa maombi ni tarehe 18/7 nadhani, hata walio wengi bado kuchaguliwa.
 
dah hivi kuna waliokosa jamani???
na waliokosa wapo wangapi?? mbona serikali yetu inatuvunja matumaini sisi wanafunzi

Kukosa ni jambo la kawaida sana hivyo wenye kukosa wapo tu kwani hata kupelekwa UDOM kuna vigezo vinazingatiwa. Ndo maana kuna wengine walipekwa advance, police na vyuo mbalimbali vya ufund, ualimu na UDOM. Sasa mtu kama habebeki unategemea nini kama siyo kukosa kote huko.
Cha kufanya kama umrkosa apply vyuo bado ni vingi hata UDOM bado kuna koz kama forensic science, computer science etc zinawasubir
 
Hv mwanafunz wa fm 4 akiapply stashahada ya ualimu UDOM atapata? naombeni mwongozo nimsaidie mdogo wangu
 
Back
Top Bottom