Samahan wadau,nimeambiwa kuwa majina ya wanafunz waliokosea maomb ya mkopo yametolewa na loan board ila najarbu kutafuta cyapat,kwa anayefaham zaid naomba msaada kwa hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cheki hii link sina uhakika ni ya liniSamahan wadau, nimeambiwa kuwa majina ya wanafunzi waliokosea maombi ya mkopo yametolewa na loan board ila najarbu kutafuta siyapati, kwa anayefahamu zaidi naomba msaada kwa hili.
Sent using Jamii Forums mobile app