Tetesi: Waliokosea maombi ya mkopo 2017/2018

Tetesi: Waliokosea maombi ya mkopo 2017/2018

Kumchoma

New Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
4
Reaction score
2
Samahan wadau, nimeambiwa kuwa majina ya wanafunzi waliokosea maombi ya mkopo yametolewa na loan board ila najarbu kutafuta siyapati, kwa anayefahamu zaidi naomba msaada kwa hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Deadline bado sasa hayo majina yametoka wapi????
Hii post inamaliza bando tuu. Watu mnasikiliza hata grapevine rumours za hadi majina yaliyo kosewa???

Watu kibao hawajatuma applications wapo RITA posta wana certify vyeti hao nao majina yao yatakuwa kundi lipi???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahan wadau,nimeambiwa kuwa majina ya wanafunz waliokosea maomb ya mkopo yametolewa na loan board ila najarbu kutafuta cyapat,kwa anayefaham zaid naomba msaada kwa hili.

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyo aliekwambia ndio akwambie zaidi


Hatuwezi kufanyia kazi tetesi wakati tovuti ya bodi I ajulikana kabisa
 
Wapendwa kuna yeyote aliye na informations kuhusu batch ya 3 Samahani nahitaji kujua,,​
 
Back
Top Bottom