Waliokufa Vs Waliohai; Sehemu ambazo hazijaguswa tangu dunia kuumbwa

Brojust

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
349
Reaction score
1,024
Salaam, Naomba kufanya brain storming kidogo.

1. Je, Kuna sehemu kwenye dunia hii haijawahi kuguswa toka uumbaji wa dunia.

2. Je, waliokufa tokea dunia kuumbwa na waliohai, yupi anaongoza kwa wingi ?

3. Je, ni kweli kuna imani ya kubadilisha jiwe kuwa dhahabu ? (Please hapa naomba tusijibu kwa mihemko)

Nawasilisha
 
Nenda kaangalie takwimu(sensa) ya watu toka 2000 mpaka now 2024 utapata majibu ya swali namba 2.

Pia refer jibu nililokupa la namba 2 kupata jibu la namba 1.

Jibu la swali lako la 3 refer bible na quran zinatoa ushahidi kuwa yesu ama nabii issa alishawahi kufufua waliokufa je ilikuwa inashindikanika kugeuza jiwe kuwa dhabahu?

Japo kwa sasa wenye imani na nguvu hiyo ni wachche kutokana na uasi(dhambi)za zama hizi.
 
1. Je, Kuna sehemu kwenye dunia hii haijawahi kuguswa toka uumbaji wa dunia....
1. Bahari ya Pacific na Atlantic zina sehemu nyingi tu hazijafikiwa na binadamu

2. Waliokufa ni wengi Maana Dunia ina takribani miaka 7000 binadamu wanaishi

3. Hadithi za kijiweni hamna kitu kama icho
 
Nenda kaangalie takwimu(sensa) ya watu toka 2000 mpaka now 2024 utapata majibu ya swali namba 2.

Pia refer jibu nililokupa la namba 2 kupata jibu la namba 1.

Jibu la swali lako la 3 refer bible na quran zinatoa ushahidi kuwa yesu ama nabii issa alishawahi kufufua waliokufa je ilikuwa inashindikanika kugeuza jiwe kuwa dhabahu?
Japo kwa sasa wenye imani na nguvu hiyo ni wachche kutokana na uasi(dhambi)za zama hizi.
Ina maana swali namba 3 ni ndio
 
Salaam, Naomba kufanya brain storming kidogo.

1. Je, Kuna sehemu kwenye dunia hii haijawahi kuguswa toka uumbaji wa dunia...
Takwimu zinaonesha 9.5% ya watu 1000 hufariki kila Mwaka Duniani kote,hiyo ni sawa na watu 95 .Je katika Wanawake 1000 watoto wangapi wanaweza kuzaliwa kwa Mwaka?

Kama waliokufa au wanaokufa ndio wengi kuliko tuliopo Duniani why population katika kila nchi huongezeka Mwaka hadi Mwaka?

So,hitimisho ni kuwa Watu walio hai ni wengi zaidi kuliko waliokufa.
 
Kuna vipindi watu walikuwa wanakula sana....
 
1. Kina cha bahari hakijawahi kuwa explored, ni ngumu sana kufika huko chini kuna kiza kizito hata mwanga wa jua haufiki.

Katikati ya milima hakujawahi kupata mtu aliyetoboa kujua ndani yake kuna nini.

2. Waliokufa ni wengi zaidi kuliko wanaoishi. Inakadiriwa kuwa zaidi ya watu Bilion 100.8 wamekufa tangu dunia iwepo

Hiyo ni sawa na asilimia 8 tu ya watu ambao bado tupo hai.

3. Hakuna imani ya kubadili mawe kuwa dhahabu hizo ni stori tu. Nimeona hapo juu kuna mtu kataja Bible na Quran huyo ndio anathibitisha nachokiongea kuwa ni stori tu.

Imani inachoweza kubadilisha ni fikra na mtizamo wa mtu tu. Imani ni convincing power kwenye mindset ya mtu.

Kinjeketile aliweza kuwabadilisha fikra wanajeshi wake kupitia imani kuwa silaha za maadui zao zitageuka maji pindi tu watapotamka maji.
 
Takwimu zinaonesha 9.5% ya watu 1000 hufariki kila Mwaka Duniani kote,hiyo ni sawa na watu 95 .Je katika Wanawake 1000 watoto wangapi wanaweza kuzaliwa kwa Mwaka?
Kama waliokufa au wanaokufa ndio wengi kuliko tuliopo Duniani why population katika kila nchi huongezeka Mwaka hadi Mwaka?
So,hitimisho ni kuwa Watu walio hai ni wengi zaidi kuliko waliokufa.
images.jpeg

Ukiangalia graph, exponential growth imeanza kama miaka 80 iliyopita kabla ya hapo mambo yalikuwa magumu, mtoto kufika miaka 5 ilikuwa issue, ukifika 40, unakufa wakati wowote.
 
1. Kimsingi, ndio. Kuna mawe yapo maelfu ya kilometa chini ya ardhi hayajaguswa kwasababu binadamu

Kuna maeneo ya bahari hayafikiki kwasababu binadamu hawawezi kuhimili ile pressure kule chini

2. Binadamu wa sasa, aliibuka takribani miaka 100k iliyopita. Miaka hiyo inatosha vizazi vingi sana kupotea. Naamini waliokufa ni wengi kuliko walio hai.

3. Ilikuwepo, lakini haimaanishi kwamba inafanya kazi. Alchemy ni sayansi ya jadi watu wa kale waliyotumia kujaribu kabadilisha vyuma kuwa dhahabu,
lakini ilikuwa zamani, watu walikuwa na uelewa duni wa sayansi
 
Takwimu zinaonesha 9.5% ya watu 1000 hufariki kila Mwaka Duniani kote,hiyo ni sawa na watu 95 .Je katika Wanawake 1000 watoto wangapi wanaweza kuzaliwa kwa Mwaka....
wanaokufa idadi yao ni cumulative,

ukifa unabaki mfu milele kwahiyo kwa muktadha wa mleta mada, hata marehemu wa mwaka 1200 tunamhesabu

sasa uhai ni wa muda tu kwahiyo walio hai ni wachache
 
Nenda kaangalie takwimu(sensa) ya watu toka 2000 mpaka now 2024 utapata majibu ya swali namba 2.

Pia refer jibu nililokupa la namba 2 kupata jibu la namba 1.

Jibu la swali lako la 3 refer bible na quran zinatoa ushahidi kuwa yesu ama nabii issa alishawahi kufufua waliokufa je ilikuwa inashindikanika kugeuza jiwe kuwa dhabahu?
Japo kwa sasa wenye imani na nguvu hiyo ni wachche kutokana na uasi(dhambi)za zama hizi.
Acha kuamini stori za biblia na Quran mkuu.
Jiwe huwezi kulibadilisha kuwa Dhahabu.
Labda ulipake jiwe rangi ya dhahabu
 
Salaam, Naomba kufanya brain storming kidogo.

1. Je, Kuna sehemu kwenye dunia hii haijawahi kuguswa toka uumbaji wa dunia.

2. Je, waliokufa tokea dunia kuumbwa na waliohai, yupi anaongoza kwa wingi ?

3. Je, ni kweli kuna imani ya kubadilisha jiwe kuwa dhahabu ? (Please hapa naomba tusijibu kwa mihemko)

Nawasilisha
1.Zipo sana hasa sehemu zilizo baharini/chini ya bahari
2.inakadiliwa toka Dunia iumbwe asilimia 97% ya watu waliowahi kuishi duniani wameshakufa
3.SIJUI,......we umesikia wapi?,hio Imani?,uliposikia panawesa tupa clue ya unachouliza
 
Salaam, Naomba kufanya brain storming kidogo.

1. Je, Kuna sehemu kwenye dunia hii haijawahi kuguswa toka uumbaji wa dunia.
Sehemu ambazo hazijawahi kuguswa katika dunia ni nyingi sana na nyingine huenda hata hatujui kama zipo, ila zipo.

Mfano kuna sehemu nyingi tu kwenye misitu minene na mikubwa hazijawahi kuguswa na watu. Pengine ni kutokana na ugumu wa kufika sehemu hizo au uwepo wa wanyama wakali maeneo hayo.

Pia kuna sehemu zenye vina virefu vya maji kwenye bahari na maziwa bado hazijawahi kuguswa na watu.
2. Je, waliokufa tokea dunia kuumbwa na waliohai, yupi anaongoza kwa wingi ?
Kwanza unathibitishaje kwamba Dunia iliumbwa?
3. Je, ni kweli kuna imani ya kubadilisha jiwe kuwa dhahabu ? (Please hapa naomba tusijibu kwa mihemko)
Kwa imani kila kitu kinawezekana. Lakini tukija kwenye ukweli na uhalisia sio kila kitu kinawezekana.

Kwa hivyo kusema kwamba "kuna imani ya kubadilisha jiwe kuwa dhahabu" ni imani tu zisizo na ukweli wala uhalisia.
Nawasilisha
 
1.ndiio hasa Africa na latin america huko brazil
2.waliokufa ni wengi zaidi
3.urongo
Afrca ni CONGO nchi GUINEA EQUATO GUINEA kuna misitu haijawahi kufikiwa kabisa

TANZANIA pia kabla ya miaka 2000 mwanzoni kuna maeneo yalikuwa hayajawi kufikiwa kabisa kwa sasa sidhani
 
1. Kimsingi, ndio. Kuna mawe yapo maelfu ya kilometa chini ya ardhi hayajaguswa kwasababu binadamu

Kuna maeneo ya bahari hayafikiki kwasababu binadamu hawawezi kuhimili ile pressure kule chini

2. Binadamu wa sasa, aliibuka takribani miaka 100k iliyopita. Miaka hiyo inatosha vizazi vingi sana kupotea. Naamini waliokufa ni wengi kuliko walio hai.

3. Ilikuwepo, lakini haimaanishi kwamba inafanya kazi. Alchemy ni sayansi ya jadi watu wa kale waliyotumia kujaribu kabadilisha vyuma kuwa dhahabu,
lakini ilikuwa zamani, watu walikuwa na uelewa duni wa sayansi
Alchemy niliisoma japo sikuweza kuimalizia. Ebu jaribu kuongezea maelezo zaidi ili kuelimisha umma
 
Back
Top Bottom