Waliokufa Vs Waliohai; Sehemu ambazo hazijaguswa tangu dunia kuumbwa

Waliokufa Vs Waliohai; Sehemu ambazo hazijaguswa tangu dunia kuumbwa

kama tulio hai ni zaidi ya watu 8B, basi waliokufa ni mara 100 ya sisi tulio hai.
 
Takwimu zinaonesha 9.5% ya watu 1000 hufariki kila Mwaka Duniani kote,hiyo ni sawa na watu 95 .Je katika Wanawake 1000 watoto wangapi wanaweza kuzaliwa kwa Mwaka?

Kama waliokufa au wanaokufa ndio wengi kuliko tuliopo Duniani why population katika kila nchi huongezeka Mwaka hadi Mwaka?

So,hitimisho ni kuwa Watu walio hai ni wengi zaidi kuliko waliokufa.
pole sana huna akili
 
Back
Top Bottom