1. Bahari ya Pacific na Atlantic zina sehemu nyingi tu hazijafikiwa na binadamuSalaam, Naomba kufanya brain storming kidogo.
1. Je, Kuna sehemu kwenye dunia hii haijawahi kuguswa toka uumbaji wa dunia....
Ina maana swali namba 3 ni ndioNenda kaangalie takwimu(sensa) ya watu toka 2000 mpaka now 2024 utapata majibu ya swali namba 2.
Pia refer jibu nililokupa la namba 2 kupata jibu la namba 1.
Jibu la swali lako la 3 refer bible na quran zinatoa ushahidi kuwa yesu ama nabii issa alishawahi kufufua waliokufa je ilikuwa inashindikanika kugeuza jiwe kuwa dhabahu?
Japo kwa sasa wenye imani na nguvu hiyo ni wachche kutokana na uasi(dhambi)za zama hizi.
Takwimu zinaonesha 9.5% ya watu 1000 hufariki kila Mwaka Duniani kote,hiyo ni sawa na watu 95 .Je katika Wanawake 1000 watoto wangapi wanaweza kuzaliwa kwa Mwaka?Salaam, Naomba kufanya brain storming kidogo.
1. Je, Kuna sehemu kwenye dunia hii haijawahi kuguswa toka uumbaji wa dunia...
Kuna vipindi watu walikuwa wanakula sana....Takwimu zinaonesha 9.5% ya watu 1000 hufariki kila Mwaka Duniani kote,hiyo ni sawa na watu 95 .Je katika Wanawake 1000 watoto wangapi wanaweza kuzaliwa kwa Mwaka?
Kama waliokufa au wanaokufa ndio wengi kuliko tuliopo Duniani why population katika kila nchi huongezeka Mwaka hadi Mwaka?
So,hitimisho ni kuwa Watu walio hai ni wengi zaidi kuliko waliokufa.
Takwimu zinaonesha 9.5% ya watu 1000 hufariki kila Mwaka Duniani kote,hiyo ni sawa na watu 95 .Je katika Wanawake 1000 watoto wangapi wanaweza kuzaliwa kwa Mwaka?
Kama waliokufa au wanaokufa ndio wengi kuliko tuliopo Duniani why population katika kila nchi huongezeka Mwaka hadi Mwaka?
So,hitimisho ni kuwa Watu walio hai ni wengi zaidi kuliko waliokufa.
wanaokufa idadi yao ni cumulative,Takwimu zinaonesha 9.5% ya watu 1000 hufariki kila Mwaka Duniani kote,hiyo ni sawa na watu 95 .Je katika Wanawake 1000 watoto wangapi wanaweza kuzaliwa kwa Mwaka....
Acha kuamini stori za biblia na Quran mkuu.Nenda kaangalie takwimu(sensa) ya watu toka 2000 mpaka now 2024 utapata majibu ya swali namba 2.
Pia refer jibu nililokupa la namba 2 kupata jibu la namba 1.
Jibu la swali lako la 3 refer bible na quran zinatoa ushahidi kuwa yesu ama nabii issa alishawahi kufufua waliokufa je ilikuwa inashindikanika kugeuza jiwe kuwa dhabahu?
Japo kwa sasa wenye imani na nguvu hiyo ni wachche kutokana na uasi(dhambi)za zama hizi.
Ila madalali esp wa pale Jangwani hawashindwi kituKubadilisha Jiwe kua Dhahabu inawezekana,
Nicheki PM
😎
1.Zipo sana hasa sehemu zilizo baharini/chini ya bahariSalaam, Naomba kufanya brain storming kidogo.
1. Je, Kuna sehemu kwenye dunia hii haijawahi kuguswa toka uumbaji wa dunia.
2. Je, waliokufa tokea dunia kuumbwa na waliohai, yupi anaongoza kwa wingi ?
3. Je, ni kweli kuna imani ya kubadilisha jiwe kuwa dhahabu ? (Please hapa naomba tusijibu kwa mihemko)
Nawasilisha
Sehemu ambazo hazijawahi kuguswa katika dunia ni nyingi sana na nyingine huenda hata hatujui kama zipo, ila zipo.Salaam, Naomba kufanya brain storming kidogo.
1. Je, Kuna sehemu kwenye dunia hii haijawahi kuguswa toka uumbaji wa dunia.
Kwanza unathibitishaje kwamba Dunia iliumbwa?2. Je, waliokufa tokea dunia kuumbwa na waliohai, yupi anaongoza kwa wingi ?
Kwa imani kila kitu kinawezekana. Lakini tukija kwenye ukweli na uhalisia sio kila kitu kinawezekana.3. Je, ni kweli kuna imani ya kubadilisha jiwe kuwa dhahabu ? (Please hapa naomba tusijibu kwa mihemko)
Nawasilisha
Afrca ni CONGO nchi GUINEA EQUATO GUINEA kuna misitu haijawahi kufikiwa kabisa1.ndiio hasa Africa na latin america huko brazil
2.waliokufa ni wengi zaidi
3.urongo
Alchemy niliisoma japo sikuweza kuimalizia. Ebu jaribu kuongezea maelezo zaidi ili kuelimisha umma1. Kimsingi, ndio. Kuna mawe yapo maelfu ya kilometa chini ya ardhi hayajaguswa kwasababu binadamu
Kuna maeneo ya bahari hayafikiki kwasababu binadamu hawawezi kuhimili ile pressure kule chini
2. Binadamu wa sasa, aliibuka takribani miaka 100k iliyopita. Miaka hiyo inatosha vizazi vingi sana kupotea. Naamini waliokufa ni wengi kuliko walio hai.
3. Ilikuwepo, lakini haimaanishi kwamba inafanya kazi. Alchemy ni sayansi ya jadi watu wa kale waliyotumia kujaribu kabadilisha vyuma kuwa dhahabu,
lakini ilikuwa zamani, watu walikuwa na uelewa duni wa sayansi