Cumudia
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 507
- 850
Natarajia kuhamia ulaya hivi karibuni panapo maajaliwa ila sijui na mimi yatanikuta haya kwa ndugu zangu, kwani waafrika sisi tuna matatizo jamani [emoji23] sijui tukoje tumejaa uvivu, chuki, wivu, njaa na kila aina ya mambo ya hovyo
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app