Waliokulia udogoni na Paul Pogba walazimisha awalipe fadhila

Adebayo aliwaita ndugu zake akawauliza, tufanye nini kama familia ili mambo yetu wote yasiende mlama. Mtu wa kwanza kutoa ushauri kwenye kikao kasema, haa mimi sitaki chochote, nataka unipe hela yangu tu kila mwezi mambo yangu ntajua mwenyewe.
[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahahaha uwiiiiu[emoji1787][emoji1787]
 
Kama alishawahi kuwapa chochote kama marafiki basi awaache waropoke, mpaka hapo washaropoka, labda waje wamuue hilo ndo mbaya, maana hawachelewi mpiga risasi na ushahidi ukapotezwa. Ila dah kisa urafiki ndo wadai hiyo pesa yote?
 
Wala hatuna shida na wewe, kabla hujahama weka mazingira sawa, masela wako walipe pia na michepuko yako ilipe maana hatuchelewi kukupeleka ustawi wa jamii😀😀😀na kukubambikizia mimba ulizoacha tumboni
 
Watu wanapenda sana hela za bure siku hizi.
 
Hivi sisi ngozi nyeusi tuna shida gani? Kashawapa ila bado hawana shukrani? Hawa wapuuzi wasije muua jamani? Pesa hiyo mbona kubwa hawana huruma anaipata kwa shida nae?
 
Adebayo aliwaita ndugu zake akawauliza, tufanye nini kama familia ili mambo yetu wote yasiende mlama. Mtu wa kwanza kutoa ushauri kwenye kikao kasema, haa mimi sitaki chochote, nataka unipe hela yangu tu kila mwezi mambo yangu ntajua mwenyewe.
Waafrika bhana[emoji23][emoji23][emoji23]dah nimecheka sana
 
Hapa nilipo nimerudishwa nyuma na Kaka zangu wawili tumbo moja. Yaani watu wanapenda pesa mno za kupewa Ila kujitoa mhanga hawapo tayari. Yaani sie Ni masikini Ni kwa sababu sio kuwa Ni bure jamani. Yaani afrika vichwa vyetu sijui viliwekewa Nini
 
kumpeleka ghetto la rafiki yao chini ya ulinzi mkali wa bunduki na kumkalisha chini na kumkumbushia jinsi walivyokua pamoja toka udogoni na alivyowasahau.
Hivi angekuwa masikini wangemteka wakampeleka huko ili wagawane umasikini wake ama hapa inakuwaje.
 
SAMAKIBA FOUNDATION unamaanisha Ni ulaji shekhe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…