Waliokuwa hawajui kwanini Walimu wanagoma, someni hapa

Waliokuwa hawajui kwanini Walimu wanagoma, someni hapa

At the same time hawana nyumba, hakuna maabara wala teaching aids zozote, kitabu

kimoja watoto 15, watoto wamekaa kwenye vumbi.

Lakini pia wakati mwingine watoto wanakuwa wamekuja shuleni bila hela za kununulia vibama vya Mwalimu, hivyo

mwalimu anachanganyikiwa zaidi, na hupelekea kumfanya achukie kazi yake!
 
Naam haya ndio matatizo ya waalimu wetu wa bongo
ama kweli hii ni kazi au wito? Viongozi wetu hawasiti kuchanganya yote mawili ili kuepuka kubeba lawama. Waalimu wanahitaji more attention ili kuimprove kiwango na ubora wa elimu yetu ya Kitanzania.
 
Just to add...

7. Dealing with difficult parents
- who would abuse/beat them
- who do dont pay fees at all or on time

8. Dealing with uneducated school boards
- learning how to answer irrelevant qns
- Tollerate all and ending up being alcoholic due to frustrations
 
Hapo hapo wabunge na mitumbo yao wanasema milioni 7 wanazo pata haziwatoshi mwalimu anaambulia 120000/= kwa mwezi nayo inachelewa pale kwa Mangi dukani kuna daftari akipokea mshahara unaishia kwa Mangi duh Mungu tusaidie.
 
Ni kweli mkuu Shapu,
mambo ni mengi wanayoface hawa walimu wetu
lakini bado hawasikilizwi n serikali kwa kiwango kinachohitajika
 
Hapo hapo wabunge na mitumbo yao wanasema milioni 7 wanazo pata haziwatoshi mwalimu anaambulia 120000/= kwa mwezi nayo inachelewa pale kwa Mangi dukani kuna daftari akipokea mshahara unaishia kwa Mangi duh Mungu tusaidie.

Kaka Fidel80 we acha wabunge wetu wanataka kujineemesha kwa mapesa mengi, kwanza wamewekewa viti ambavyo hata kwenye bunge la Ulaya havipo, wanajiendesha bungeni kuongea na huyu wa kulia mara yule wa kushoto miswada inapita bila hata kusikia nini kilichojadiliwa.

Walimu inabidi waangaliwe kipya maslahi yao yaboreshwe, vinginevyo waendelee kugoma tu mpaka kieleweke
 
6. A Role Model
- A role model behaviour
- A working role model/mirror

Source: HAKIELIMU JOURNAL (www.hakielimu.org)
Ninayo matumaini kwamba baadae watu wengi watakuwa wakitembelea websites za taasisi mbalimbali kama HakiElimu, www.humanrights.or.tz, HakiArdhi, n.k.
Of course, a lot more people will visit udaku sites 🙂

Sipo, have you been to HakiElimu website before?
 
Back
Top Bottom