Waliokuwa mateka Gaza wamuumbua Netanyahu

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Ama kweli la kuvunda halina ubani. Yamesikika mengi kuhusu ugaidi na ufwedhuli wa wapalestina na HAMAS.

Kwamba HAMAS ni wauaji, wabakaji, magaidi, wenye kutumia mahospitali kama vituo vya kijeshi, wanyama wasiostahili kuishi duniani na eti kuwa walaumiwe wao kwa vita hivi huko Gaza.

Kwenye mkutano wao na baraza la vita ambao amekuwa akiukimbia kwa muda mrefu, waliokuwa mateka Gaza wamemjia juu waziri mkuu huyu mwongo mwongo sana. Ya kuwa kumbe ni jongo, lisilokuwa na huruma wala kuyajali yakiwamo madhila ya mateka wanaobakia Gaza.

Kwamba jongo jongo hili halifai hata kuwepo madarakani. Liondoke, nchi iendeshwe na wenye kujali ustawi wa watu wakiwamo hata wasiokubaliana nao.

IMG_20231206_100139~2.jpg

Barua za shukurani toka kwa waliokuwa mateka kwenda HAMAS zimeonekana. Afya ya miili ya mateka miezi 2 wakiwa kifungoni wengine na vijibwa vyao zimeonekana. Shuhuda za mateka kuwahusu HAMAS zimesikika.

Natenyahu na tuhuma zake mpya kuwa HAMAS walibaka, ila waliobakwa walikufa, hizo labda kama ni za kuwaambia mbuzi.

Kwa hakika waliokuwa mateka na wasikilizwe!
 
Tukiwaambia kina MK254 kua hamas ni kundi teule awe anaelewa
Kwasasa hakuna propaganda ambayo western israhell na shost zake wataipiga dhidi ya hamas ikakubaliwa
Uzuri wa haya majambo yanakuja wakati mzuri sana wakati ambao dunia ililishwa sana propaganda huko nyuma nawakaziamini ila kwasasa majambo yamekua tofauti sana
Kwasasa watu wanajua kuchuja majambo sio kumezeshwa tu kama ilivyokua zamani wakati wanaivamia Iraq kwamadai kwamba ipo na atomic bomb [emoji378] halaf ikawa porojo
Umeona lile igizo lao lakua eti hospital ya alshifaa ilikua inatumika kama sehem yakujifichia hamas iliishia wapi
Kwasasa watu wataisikiliza BBC NBC CNN Deutsche well nk ila baadae watakaa chini waanze kupembua mchele uko wapi na chuya
Naona mara hii wamehamia kwa pally wood ila napo wamestukiwa hawa wapuuzi wakubwa
Hamas kamatieni hapo hapo
 
inaelekea kuna wa israel walifurahia kubakwaa na Hamas
HATA HIVYO bandiko a kimombo au kiinglisha haliendani na kichwa cha habari hiyo ni kawiaida ya hamas wa kibongo tumewazoea
 
Bandiko la kimombo ni "chachandu" kukupa kilichojiri huko chamber milango fungwa.

IMG_20231204_163439.jpg
 
Unahangaika nini mbwe we kuwatetea hamas? Hata aje waziri mkuu mwingine wa israel kipigo kwa hamas kipo palepale kwa ushenzi watakaoufanya
 
Tukiwaambia kina MK254 kua hamas ni kundi teule awe anaelewa
Kwasasa hakuna propaganda ambayo western israhell na shost zake wataipiga dhidi ya hamas ikakubaliwa
Uzuri wa haya majambo yanakuja wakati mzuri sana wakati ambao dunia ililishwa sana propaganda huko nyuma nawakaziamini ila kwasasa majambo yamekua tofauti sana
Kwasasa watu wanajua kuchuja majambo sio kumezeshwa tu kama ilivyokua zamani wakati wanaivamia Iraq kwamadai kwamba ipo na atomic bomb [emoji378] halaf ikawa porojo
Umeona lile igizo lao lakua eti hospital ya alshifaa ilikua inatumika kama sehem yakujifichia hamas iliishia wapi
Kwasasa watu wataisikiliza BBC NBC CNN Deutsche well nk ila baadae watakaa chini waanze kupembua mchele uko wapi na chuya
Naona mara hii wamehamia kwa pally wood ila napo wamestukiwa hawa wapuuzi wakubwa
Hamas kamatieni hapo hapo

Ukweli na haki kwa madhwalimu huwa ni habari mbaya sana kwao
 
Wapi unasoma utetezi ndugu? Utetezi ni kazi rasmi za watu. Nenda mahakamani huko utawakuta huko.
kwa hiyo we ni wakili wa hamas? Naona kama unafanya propaganda tu upande wa hamas. Ngoja na sie wengine tuitetee israel kwa uchokozi uliofanywa na hamas
 
P
Ama kweli la kuvunda halina ubani. Yamesikika mengi kuhusu ugaidi na ufwedhuli wa wapalestina na HAMAS.

Kwamba HAMAS ni wauaji, wabakaji, magaidi, wenye kutumia mahospitali kama vituo vya kijeshi, wanyama wasiostahili kuishi duniani na eti kuwa walaumiwe wao kwa vita hivi huko Gaza.

Kwenye mkutano wao na baraza la vita ambao amekuwa akiukimbia kwa muda mrefu, waliokuwa mateka Gaza wamemjia juu waziri mkuu huyu mwongo mwongo sana. Ya kuwa kumbe ni jongo, lisilokuwa na huruma wala kuyajali yakiwamo madhila ya mateka wanaobakia Gaza.

Kwamba jongo jongo hili halifai hata kuwepo madarakani. Liondoke, nchi iendeshwe na wenye kujali ustawi wa watu wakiwamo hata wasiokubaliana nao.

View attachment 2834459

Barua za shukurani toka kwa waliokuwa mateka kwenda HAMAS zimeonekana. Afya ya miili ya mateka miezi 2 wakiwa kifungoni wengine na vijibwa vyao zimeonekana. Shuhuda za mateka kuwahusu HAMAS zimesikika.

Natenyahu na tuhuma zake mpya kuwa HAMAS walibaka, ila waliobakwa walikufa, hizo labda kama ni za kuwaambia mbuzi.

Kwa hakika waliokuwa mateka na wasikilizwe!
Magaidi yanaendelea kufyekwa huku wakiwaponza raia wao kuendelea kufa hadi sasa vifo vimefikia 17 000 maelfu kujeruhiwa huku kila mahali pakipigwa. Ilikuwa kaskazini gaza baadae central gaza sasa kusini gaza

Endelea na propaganda huku hao nduguzo wakifa. Vita haisimami hadi malengo makuu matatu yatimie

Pia nakukimbusha Israel wana .mpango wa kuyajaza mahandaki ya hamas kwa maji ya bahari; tayari mitambo yenye nguvu kubwa ya kupamp maji imewemwa pwani. Jilo lokifanyika litasabsbisha ardhi ya gaza isifae kwa kilimo kwa miaka mingi sana

Safari hii hamas wenyewe watakiri Netanyahu mbabe .
 
Unahangaika nini mbwe we kuwatetea hamas? Hata aje waziri mkuu mwingine wa israel kipigo kwa hamas kipo palepale kwa ushenzi watakaoufanya
kwa hiyo we ni wakili wa hamas? Naona kama unafanya propaganda tu upande wa hamas. Ngoja na sie wengine tuitetee israel kwa uchokozi uliofanywa na hamas
Sasa si uitetee hiyo nchi yako ya Israel na Waziri mkuu wake kwa hoja!! Povu la nini ndugu Myahudi wa Kimbiji?
 
P

Magaidi yanaendelea kufyekwa huku wakiwaponza raia wao kuendelea kufa hadi sasa vifo vimefikia 17 000 maelfu kujeruhiwa huku kila mahali pakipigwa. Ilikuwa kaskazini gaza baadae central gaza sasa kusini gaza

Endelea na propaganda huku hao nduguzo wakifa. Vita haisimami hadi malengo makuu matatu yatimie

Pia nakukimbusha Israel wana .mpango wa kuyajaza mahandaki ya hamas kwa maji ya bahari; tayari mitambo yenye nguvu kubwa ya kupamp maji imewemwa pwani. Jilo lokifanyika litasabsbisha ardhi ya gaza isifae kwa kilimo kwa miaka mingi sana

Safari hii hamas wenyewe watakiri Netanyahu mbabe .

Kwani mateka, waliokuwa mateka na ndugu zao wanasema je?

IMG_20231204_163439.jpg
 
H

HaYo sio maoni ya waisrael wengi. Majority wanataka objectives 3 zitimizwe.

Let them continue fight mbabe ataonekana katika mapambano.

Statistics zako umezichukulia wapi ndugu?
 
Hayo mtayajua nyie! Netanyahu kazi yake ni kutandika magaidi ya hamas
 
Back
Top Bottom