Waliokuwa mateka Gaza wamuumbua Netanyahu

Waliokuwa mateka Gaza wamuumbua Netanyahu

Hayo mtayajua nyie! Netanyahu kazi yake ni kutandika magaidi ya hamas

"Nyie," ukimaanisha mateka na ndugu wenye mateka wao siyo?

Screenshot_20231206-143724.jpg

Basi sawa!
 
Tukiwaambia kina MK254 kua hamas ni kundi teule awe anaelewa
Kwasasa hakuna propaganda ambayo western israhell na shost zake wataipiga dhidi ya hamas ikakubaliwa
Uzuri wa haya majambo yanakuja wakati mzuri sana wakati ambao dunia ililishwa sana propaganda huko nyuma nawakaziamini ila kwasasa majambo yamekua tofauti sana
Kwasasa watu wanajua kuchuja majambo sio kumezeshwa tu kama ilivyokua zamani wakati wanaivamia Iraq kwamadai kwamba ipo na atomic bomb [emoji378] halaf ikawa porojo
Umeona lile igizo lao lakua eti hospital ya alshifaa ilikua inatumika kama sehem yakujifichia hamas iliishia wapi
Kwasasa watu wataisikiliza BBC NBC CNN Deutsche well nk ila baadae watakaa chini waanze kupembua mchele uko wapi na chuya
Naona mara hii wamehamia kwa pally wood ila napo wamestukiwa hawa wapuuzi wakubwa
Hamas kamatieni hapo hapo

Sikujua huwa unaandika insha, wala sijasoma, mpigwe Wapalestina Gaza wagaragazwa wenzao wanaangalia tu. Huu ni unyama
 
Uzoefu unaonyesha wenye kujinadi kutosoma huwa wamesoma na kuguswa. Yaani ni two in one!

Kuandika andika humu mngeandika wakati hayo magaidi yanafanyia unyama kwa Wayahudi, kichapo kimebadilishwa mnajifanya kuandika viinsha...takbir....usicheze na Myahudi siku nyingine.
 
Kuandika andika humu mngeandika wakati hayo magaidi yanafanyia unyama kwa Wayahudi, kichapo kimebadilishwa mnajifanya kuandika viinsha...takbir....usicheze na Myahudi siku nyingine.

Maneno ya wahanga ni rasmi:

Screenshot_20231206-143724.jpg

Wenye watu wao huko hawalali ila zile mbuzi koko.
 
Ama kweli la kuvunda halina ubani. Yamesikika mengi kuhusu ugaidi na ufwedhuli wa wapalestina na HAMAS.

Kwamba HAMAS ni wauaji, wabakaji, magaidi, wenye kutumia mahospitali kama vituo vya kijeshi, wanyama wasiostahili kuishi duniani na eti kuwa walaumiwe wao kwa vita hivi huko Gaza.

Kwenye mkutano wao na baraza la vita ambao amekuwa akiukimbia kwa muda mrefu, waliokuwa mateka Gaza wamemjia juu waziri mkuu huyu mwongo mwongo sana. Ya kuwa kumbe ni jongo, lisilokuwa na huruma wala kuyajali yakiwamo madhila ya mateka wanaobakia Gaza.

Kwamba jongo jongo hili halifai hata kuwepo madarakani. Liondoke, nchi iendeshwe na wenye kujali ustawi wa watu wakiwamo hata wasiokubaliana nao.

View attachment 2834459

Barua za shukurani toka kwa waliokuwa mateka kwenda HAMAS zimeonekana. Afya ya miili ya mateka miezi 2 wakiwa kifungoni wengine na vijibwa vyao zimeonekana. Shuhuda za mateka kuwahusu HAMAS zimesikika.

Natenyahu na tuhuma zake mpya kuwa HAMAS walibaka, ila waliobakwa walikufa, hizo labda kama ni za kuwaambia mbuzi.

Kwa hakika waliokuwa mateka na wasikilizwe!
Watu wanakufa huko kama nzige wewe panya unaleta Umbea wa kijiwenongwa.

Hivi nyie wavaa Kobaz akili zenu zipo eneo Gani?
 
Tukiwaambia kina MK254 kua hamas ni kundi teule awe anaelewa
Kwasasa hakuna propaganda ambayo western israhell na shost zake wataipiga dhidi ya hamas ikakubaliwa
Uzuri wa haya majambo yanakuja wakati mzuri sana wakati ambao dunia ililishwa sana propaganda huko nyuma nawakaziamini ila kwasasa majambo yamekua tofauti sana
Kwasasa watu wanajua kuchuja majambo sio kumezeshwa tu kama ilivyokua zamani wakati wanaivamia Iraq kwamadai kwamba ipo na atomic bomb [emoji378] halaf ikawa porojo
Umeona lile igizo lao lakua eti hospital ya alshifaa ilikua inatumika kama sehem yakujifichia hamas iliishia wapi
Kwasasa watu wataisikiliza BBC NBC CNN Deutsche well nk ila baadae watakaa chini waanze kupembua mchele uko wapi na chuya
Naona mara hii wamehamia kwa pally wood ila napo wamestukiwa hawa wapuuzi wakubwa
Hamas kamatieni hapo hapo
CNN, MSNBC wala sitizami tena wanafki sana.
 
Back
Top Bottom