Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Wakati wa Mchakato wa KATIBA MPYA mwaka 2011, Bwana Humphrey Polepole na Bw. Kabudi Walikuwa Miongoni ya Wajumbe wa ile Tume ya Warioba. Watu hawa Walikuwa Mstari wa mbele sana kuhakikisha mchakato ule unafanikiwa.
Kwa Bahati Mbaya mahafidhina wakauharibu ule Mchakato na Katiba Mpya haikupatikana.
Hivi Sasa Bw.Kabudi ni Waziri na Bw.Polepole ni Mbunge. Cha kushangaza Watu hao Wamekuwa miongoni wa wapinga Katiba Mpya na kudai Katiba iliyopo ni imara.
Swali la Msingi:
Je, kipindi kile Walitaka Katiba Mpya kwa kuwa hawakuwa Mawaziri au Wabunge?
Je, Kipindi hiki Wanapinga Katiba Mpya kwa kuwa ni Waziri au Mbunge?